Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

Mnaniudhi sana na hayo mapambio yenu kwa huyu mtu, kateka uongozi kimabavu na anatawala na magwanda ya kijeshi, kazi kuuza sura kwenye mitandao.
Au kwa vile ni kobaz mwenzenu ndio mumsifie.
 
Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?


View: https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc

Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa.

Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida, ila kwetu air bus nzima ya biashara na hadi kina Mwi*jakwu ndani!

Tunaye Lisu anatosha
Kapigwa Lisasi 39 lakini bado kasimana
Lisu ana charisma. Charismatic leader
 
Mnaniudhi sana na hayo mapambio yenu kwa huyu mtu, kateka uongozi kimabavu na anatawala na magwanda ya kijeshi, kazi kuuza sura kwenye mitandao.
Au kwa vile ni kobaz mwenzenu ndio mumsifie.

Kuna aliyeteka kimabavu kuliko Natenyahu?
 
Kama kweli Traore ni mzalendo avue Magwanda aitishe Chaguzi HURU na HAKI ashinde kihalali huo ndio Uzalendo.

Kwani umeona alikuwa nayo hapo? Au yale yale na walamba asali tukiwaambia Kila leo?
 

Castro, Arafat hatukumbuki walitinga vipi bongo:

IMG_20250423_191349.jpg
 
Hii ni 2025, karne ya 21.

Tulikuwa na madalali wenzio jana. Au wadhani tumekusahau?

Kesho tutakuwa kisutu bila shaka madalali mtakuwa nyuma keyboard kama mlivyozoeleka.

Bure kabisa!
 
Kwa hiyo hiko kibastola hapo kiunoni ndio kitazuia siku wakitaka kumnyoosha??

Kwa hiyo huko ambako hata hakutambulika wewe umeona alikuwa nayo? Mbona wamasai wanakwenda na sime hamsemi?
 
Back
Top Bottom