Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wamasai kutembea na sime na mashuka ni utamaduni wao.Kwa hiyo huko ambako hata hakutambulika wewe umeona alikuwa nayo? Mbona wamasai wanakwenda na sime hamsemi?
Wamasai kutembea na sime na mashuka ni utamaduni wao.Kwa hiyo huko ambako hata hakutambulika wewe umeona alikuwa nayo? Mbona wamasai wanakwenda na sime hamsemi?
Kijana anajenga nchi yake, ninyi hangaikeni na mafisadi yenu na demokrasia uchwara..Umejuaje wao wanamkubali?
Mthenge weweWadangayeni walevi wa mama
Ujinga tena ufala kabisaDemokrasia ni nini?
Kwa nini Demokrasia ni ujinga?
Naunga mkono.Ngoja waje waliokaririshwa kuhusu demokrasiaa..Huyu watamtafuta mpaka wammlize halafu baadaye wanaanda kurudi nyuma ...Yaani wanaomini demokrasia ni watu wajinga sana.
Jamaa Bado ana mentality za kina Lenin za miaka ya 70..Hivi kwanini Ibrah huwa anatembea na kibastola chake kiunoni na gloves za gym mikononi kila mahali?
Mkuu..😂😂Kuna chawa mmoja siku atajipendekeza kumsifia kupitiliza ata mwaga ubongo
Wamasai kutembea na sime na mashuka ni utamaduni wao.
Jamaa Bado ana mentality za kina Lenin za miaka ya 70..
Mbona Uganda, Burundi, Zimbabwe na nchi nyingi tu zisizo na demokrasia hazina hayo maendeleo?Naunga mkono.
Demokrasia sometime kama inachelewesha mambo kwenda sawa otherwise muwe kitu kimoja na ngumu.
Sasa kwann atembee na bastola kiunoni..!?Kumbe wenye mentality miaka za 2200 ndiyo ninyi?
Mbona Uganda, Burundi, Zimbabwe na nchi nyingi tu zisizo na demokrasia hazina hayo maendeleo?
Sasa kwann atembee na bastola kiunoni..!?
Mthenge wewe
Mama yako yule malaya ..Akazaa mtoto hanithi.Wewe si ndiye mama lao?
Mkuu mbona kama umetumia visungura vingi sana?!Bastola? Wew kwanini unatembea na simu? Vipi mmasai na sime?
Hawafanyi uchaguzi na washindanishwi kwa vyama?Mbona Uganda, Burundi, Zimbabwe na nchi nyingi tu zisizo na demokrasia hazina hayo maendeleo?
Unaelewa maana ya demokrasia??Hawafanyi uchaguzi na washindanishwi kwa vyama?