Kuna chawa mmoja siku atajipendekeza kumsifia kupitiliza ata mwaga ubongoIpo siku akili zitafyatuka amfumie ubongo mgeni hadharani
Andamana! Wao wanamkubali.Ana swaga za kishamba sana, sijui anawatishia wakina nani!
Kama kweli Traore ni mzalendo avue Magwanda aitishe Chaguzi HURU na HAKI ashinde kihalali huo ndio Uzalendo.Mkuu tunataka wazalendo ndiyo maana wengine g-55 na wenzao hatukutaka kuwasikia tokea tulipowaelewa.
Au nasema uongo?
Anawindwa huyo.Hivi kwanini Ibrah huwa anatembea na kibastola chake kiunoni na gloves za gym mikononi kila mahali?
Demokrasia ni ujingaDemokrasia ni sahihi kwa maana asiyefaa atafurushwa pasipona kumlea.
Demokrasia waipende vipi wapenda nyama na pombe za bure?
Umejuaje wao wanamkubali?Andamana! Wao wanamkubali.
Demokrasia ni ujinga
Tunaye Lisu anatoshaNani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?
View: https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc
Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa.
Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida, ila kwetu air bus nzima ya biashara na hadi kina Mwi*jakwu ndani!
Demokrasia ni nini?Demokrasia ni ujinga
Mnaniudhi sana na hayo mapambio yenu kwa huyu mtu, kateka uongozi kimabavu na anatawala na magwanda ya kijeshi, kazi kuuza sura kwenye mitandao.
Au kwa vile ni kobaz mwenzenu ndio mumsifie.
Kama kweli Traore ni mzalendo avue Magwanda aitishe Chaguzi HURU na HAKI ashinde kihalali huo ndio Uzalendo.
Kwa hiyo hiko kibastola hapo kiunoni ndio kitazuia siku wakitaka kumnyoosha??Anawindwa huyo.
😀😀Traore ni Mwamposa wa siasa za Africa
Ipo siku akili zitafyatuka amfumie ubongo mgeni hadharani
Hii ni 2025, karne ya 21.
Hii ni 2025, karne ya 21.
Kwa hiyo hiko kibastola hapo kiunoni ndio kitazuia siku wakitaka kumnyoosha??