Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

Huyu jamaa ni limbukeni tu hana jipya. Muda wote bastola kiunoni inaonyesha akili yake ilivyo. Halafu hii ni fake news.
 

+ na wale wapenda nyama na pombe za bure.
 
Huyu jamaa ni limbukeni tu hana jipya. Muda wote bastola kiunoni inaonyesha akili yake ilivyo. Halafu hii ni fake news.

Nitakuwapo kisutu kesho kwa sababu napigania watu kama huyu nikiamini Lissu ni mmoja wa watu hao. Ama kwa hakika si kwa yule ndugu yenu mwingine.

Na kama nikigundua Lissu si kama huyu unayeonekana kuwa na makasiriko naye kweri kweri, nitakuwa kumbe kwenye mkondo siyo!

Vipi kesho tutakuwapo kisutu au kama kawaida ya malimbukeni na madalali wao nyuma ya keyboard?

imhotep miadi yetu kisutu kesho:



Atake asitake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…