Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Unaweza kupata maajabu hapa maana wabongo ni pasua kichwa (namimi nimo) badala ya kuipigia kura JF utakuta mtu ameipa kura yake tanesco.
 
Najua tunashinda lkn mbona melo mwenyewe haipi kipaumbele!? ya wezekana akawa anajua ushindi lazima,kinacho fanyika hapo nikumpa tu melo hio kumpongeza kwa kazi kubwa alio ifanya mpaka kwenda kuchukua Tuzo kwa mabeberu si mchezo kwahio hii ya Tanzania ni pongezi kwa melo.
 
Kuliko kutokuipigia JF si bora mutunyonge? Deal done Charlie.!!
 

Attachments

  • Screenshot_20200219-093647.png
    101.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…