Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake

Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie

Tumechoka
Baki na ujinga wako nyumbani huu ni mchezo sio siasa ,kukosa busara na hekima ni kutojua uwanja wa vita na upo vitani
 
Nafikiri ungeanza kumzomea SH.
Nchemba hawezi kuanzisha tozo bila rais kuridhia au baraza la mawaziri na bunge pia
 
Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake

Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie

Tumechoka
Huu muda wa kuandika upu.mbavu unaupata wapi!!!??
 
Baki na ujinga wako nyumbani huu ni mchezo sio siasa ,kukosa busara na hekima ni kutojua uwanja wa vita na upo vitani
Watanzania wengi mmelogwa. Watu wanakamuliwa kuliko wakati wowote uliopita wewe unatetea. Kudadadeki
 
Tunakwambia acha ujinga ,Chukua mfano huu ukigombana na baba Amina ,unamtafuta baba Amina unamzomea sio kuzomea nyumba au gari la baba Amina .
 
Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake

Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie.

Tumechoka.
Wivu tuu kwa sababu za magarasa yenu huko Simba na Yanga..
 
Back
Top Bottom