Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake

Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie.

Tumechoka.
Umezingua
 
Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake

Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie.

Tumechoka.
Kwenye hili uko mwenyewe
 
Hana madhara wenye madhara ni wale wajengao chumba kwa milioni 11.
Tozo ziendelee
 
Milioni 11 hela ndogo sana
Ukilinganisha na thamani ya v8 la Waziri plus gharama ya msafara ikiwemo mafuta na posho ni hela ndogo sana hata mafuta tu ya msafara wa Waziri hazitoshi kujaza mafuta
 
Back
Top Bottom