ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Sep 9, 2022 #21 Mdukuzii said: Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka. Click to expand... Umezingua
Mdukuzii said: Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka. Click to expand... Umezingua
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Sep 9, 2022 #22 Ntaenda kabisa na bango uwanjani =Tozo Fc
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Sep 10, 2022 #23 Unaanzaje kumzonea fundi mbrazil Federico jr? Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Sep 10, 2022 #24 Mdukuzii said: Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka. Click to expand... Kwenye hili uko mwenyewe
Mdukuzii said: Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka. Click to expand... Kwenye hili uko mwenyewe
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Sep 10, 2022 #25 Hana madhara wenye madhara ni wale wajengao chumba kwa milioni 11. Tozo ziendelee
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Sep 10, 2022 Thread starter #26 Kalunya said: Hana madhara wenye madhara ni wale wajengao chumba kwa milioni 11. Tozo ziendelee Click to expand... Milioni 11 hela ndogo sana
Kalunya said: Hana madhara wenye madhara ni wale wajengao chumba kwa milioni 11. Tozo ziendelee Click to expand... Milioni 11 hela ndogo sana
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Sep 10, 2022 #27 Mdukuzii said: Milioni 11 hela ndogo sana Click to expand... Ukilinganisha na thamani ya v8 la Waziri plus gharama ya msafara ikiwemo mafuta na posho ni hela ndogo sana hata mafuta tu ya msafara wa Waziri hazitoshi kujaza mafuta
Mdukuzii said: Milioni 11 hela ndogo sana Click to expand... Ukilinganisha na thamani ya v8 la Waziri plus gharama ya msafara ikiwemo mafuta na posho ni hela ndogo sana hata mafuta tu ya msafara wa Waziri hazitoshi kujaza mafuta
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Sep 11, 2022 Thread starter #28 Niko hapa nawazomea
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 11, 2022 #29 Kuna mambo yanasikitisha sana...