Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia

Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu

Hapa tusaidiane, nini lengo hasa la serikali za mitaa kukwangua hizi barabara na kuziacha bila kuweka hata kokoto au moramu wanavyosema wao?

Huu si upotevu wa pesa ya umma? Hizi hela zingeweza kutumika shuleni kutatua tatizo la madawati na miundombinu mingine ingeleta tija

Kwanini kama bajeti ni ndogo, wasitenge barabara kadhaa ambazo wataweza kuzikarabati mwanzo hadi mwisho zikawa na ubora na kutumika muda mrefu bila kuharibika?
 
Kiluvya barabara ya madukani to kisarawe imekuwa kama mradi fulani hivi
 
Haitakiwi wajenge imara maana mwakani watakosa kazi. Na kumbuka Kuna 10% kwa Engineers wa Serikali
 
Maana yake wanakwangua pesa ya umma kupitia kwangua kwangua ya barabara
 
Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia

Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu

Hapa tusaidiane, nini lengo hasa la serikali za mitaa kukwangua hizi barabara na kuziacha bila kuweka hata kokoto au moramu wanavyosema wao?

Huu si upotevu wa pesa ya umma? Hizi hela zingeweza kutumika shuleni kutatua tatizo la madawati na miundombinu mingine ingeleta tija

Kwanini kama bajeti ni ndogo, wasitenge barabara kadhaa ambazo wataweza kuzikarabati mwanzo hadi mwisho zikawa na ubora na kutumika muda mrefu bila kuharibika?
Maana yake bajeti ya kutekeleza hayo ipo,na ipo ili ifanye kazi,ili itumike!
 
Back
Top Bottom