Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kiluvya barabara ya madukani to kisarawe imekuwa kama mradi fulani hiviKatika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia
Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu
Hapa tusaidiane, nini lengo hasa la serikali za mitaa kukwangua hizi barabara na kuziacha bila kuweka hata kokoto au moramu wanavyosema wao?
Huu si upotevu wa pesa ya umma? Hizi hela zingeweza kutumika shuleni kutatua tatizo la madawati na miundombinu mingine ingeleta tija
Kwanini kama bajeti ni ndogo, wasitenge barabara kadhaa ambazo wataweza kuzikarabati mwanzo hadi mwisho zikawa na ubora na kutumika muda mrefu bila kuharibika?
Tangu nipo primary school naikumbuka sana iyo barabara. Leo hii nimezeeka Bado nasikia wanakwangua tu๐๐Kiluvya barabara ya madukani to kisarawe imekuwa kama mradi fulani hivi
Maana yake bajeti ya kutekeleza hayo ipo,na ipo ili ifanye kazi,ili itumike!Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia
Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu
Hapa tusaidiane, nini lengo hasa la serikali za mitaa kukwangua hizi barabara na kuziacha bila kuweka hata kokoto au moramu wanavyosema wao?
Huu si upotevu wa pesa ya umma? Hizi hela zingeweza kutumika shuleni kutatua tatizo la madawati na miundombinu mingine ingeleta tija
Kwanini kama bajeti ni ndogo, wasitenge barabara kadhaa ambazo wataweza kuzikarabati mwanzo hadi mwisho zikawa na ubora na kutumika muda mrefu bila kuharibika?
Udongo wenyewe mfinyanzi, mvua kidogo magari hayaendi kabisaTangu nipo primary school naikumbuka sana iyo barabara. Leo hii nimezeeka Bado nasikia wanakwangua tu๐๐