Uchaguzi 2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

Lisu ni jeuri na ana kejeli sana!

Hotuba zake nyingi hajisikii raha kama hajamkejeli rais Magufuli personal!

Huyu mimi naunga mkono kupopolewa na mawe maana hakajielewi haka kawakala ka beberu
Sio matusi tena ni kejeli?
 
Alijiona kidume kutunyamazisha, kaja kidume zaidi yake, popoma kweli hilo jiwe
 
Mh.TL sioni Kama anamtukana Mh Rais bali amekuwa akiyarejea maneno ambayo Mh. Rais amekuwa akiyatamka majukwaani kwa miaka mitano inayoishia sasa
 
Hivi yule Musiba Anaendeleaje?? Daa lichswa likubwa sasa limeachwa kwa mataa
 
Hizi ndiyo siasa za ustaarabu wanazohubiri CCM🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…