The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Kwanza sikiliza hii:
Tundu Lissu anasema katika voice note hii;
"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."
"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa instructions kwa wakili wangu Bob Amsterdam na mawakili wenzake. Na kama atahitaji mawakili wengine wa ziada kutoka Marekani, Uingereza, ulaya waendelee maana nimeshawapa hayo maagizo...."
Nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu Tundu Lissu na influence yake kitaifa na kimataifa:
1. Kwamba, bila shaka huyu jamaa (TL) ana ukwasi wa kutosha sana kiasi cha kumudu kulipia gharama za kesi hii katika mahakama za nje ya nchi (Ulaya & Marekani)...
2. Au, Je kuna mashirika ya msaada wa kisheria huko duniani au watu binafsi ambao wameamua ku - sympathize naye baada ya madhira yaliyompata mwaka 2017 ya kunusurika kifo cha risasi 37 kisha akatelekezwa hospitalini na mwajiri wake (Bunge/Serikali ya Tanzania), akanyimwa haki zake zote na hivyo hawa watu wamejitolea kumsadia kupata haki yake...?
3. Honestly, kama hii kesi itafunguliwa ktk mahakama za kimataifa huko nje ya nchi, basi naweza kuamini bila shaka yoyote kuwa huyu mtu si wa kawaida, ni wa kipekee sana....!