"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."
"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa instructions kwa wakili wangu Bob Amsterdam na mawakili wenzake. Na kama atahitaji mawakili wengine wa ziada kutoka Marekani, Uingereza, ulaya waendelee maana nimeshawapa hayo maagizo...."
Nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu Tundu Lissu na influence yake kitaifa na kimataifa:
1. Kwamba, bila shaka huyu jamaa (TL) ana ukwasi wa kutosha sana kiasi cha kumudu kulipia gharama za kesi hii katika mahakama za nje ya nchi (Ulaya & Marekani)...
2. Au, Je kuna mashirika ya msaada wa kisheria huko duniani au watu binafsi ambao wameamua ku - sympathize naye baada ya madhira yaliyompata mwaka 2017 ya kunusurika kifo cha risasi 37 kisha akatelekezwa hospitalini na mwajiri wake (Bunge/Serikali ya Tanzania), akanyimwa haki zake zote na hivyo hawa watu wamejitolea kumsadia kupata haki yake...?
3. Honestly, kama hii kesi itafunguliwa ktk mahakama za kimataifa huko nje ya nchi, basi naweza kuamini bila shaka yoyote kuwa huyu mtu si wa kawaida, ni wa kipekee sana....!

.....Na wewe unajua sababu za mfanyakazi huyo kuishitaki kampuni ya TIGO huko..?
.....Kusaidia ili na wengine wajue ni kuwa, Millicom/TIGO walivunja mkataba wake wa ajira na kumfukuza kazi kinyume cha sheria na taratibu
.....Na sababu ya kuvunjiwa mkataba wake wa ajira ni kwa kuwa aligundua kuwa TIGO - kampuni ya mawasiliano ilihusika kinyume cha sheria kuvujisha siri za mawasiliano za mteja wao aitwaye Tundu Lissu na taarifa hizo kutumika vibaya na wapinzani wake wa kisiasa ambao baadhi ya viongozi na watawala wa serikali ya Tanzania akiwemo John Pombe Magufuli (Rais wa JMT wakati huo) Paul Makonda (mratibu na mtekelezaji wa mkakati huo) ili kumuua jaribio lililoshindikana lakini likaishia kumjeruhi kimwili na kisaikolojia si tu yeye bali familia yake, chama chake, na Watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla...
....Huyu mtu aitwaye Michael Clifford, anao ushahidi huo wa uhusika wa TIGO na shida ya Tundu Lissu ni kuupata ushahidi ili naye autumie kuanzishia mashitaka yake.