Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Kuna perspectives nyingi....

1. Kuoana kwa ajili ya kutengeneza familia.
Hapa tunaenda na ile principle ya supply and demand.... kwa mwanamke the more the age, the less the demand.... kwa mwanaume haina effect kwake, hata kibabu cha miaka 100 kinaoa na kumimbisha vizuri tuu.

2. Kuolewa kwa ajili ya maisha tu, hakuna kuzaa.
Hapa ndipo wanawake wenye age kubwa wanafit.... hapa mwanamke hukosi mtu wa kukuweka ndani, ila ndoa sahau.

NB: Umedanganywa kwamba mwanaume akizeeka basi inalala lolo. Hiyo siyo kweli. Kama ambavyo kitoto kilichozaliwa tuu kina uwezo wa kudindisha, ndivyo ilivyo hata kwa mzee wa miaka hata 200. Kifupi hata maiti mwanaume ukistimulate dick yake inasimama.
 
Nimepangwa kupika kuanzia kesho kazini ngoja nikawanyooshe nikawe mgeni mwenyewe...Yaan full kuonja🤨
Nakumbuka pasaka moja enzi hizo, mama kaenda kanisani, kaniachia mboga nipike, akirudi aendelee na mapishi mengine.

Bata mtamu nyie, nikachukua kipande kimoja ili nionje, chumvi ilikuwa imekolea vyema, kawekwa tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili manga, viungo vimemkolea.

Nikaongeza kipande cha pili, aisee kikawa kitamu kuliko cha kwanza, ninachokumbuka nilibakiza vipande vitatu tu.

Mama akarudi akiwa ameongozana na Mchungaji, Mwinjilisti na Mzee wa kanisa.
Uzuri kulikuwa na kuku bandani, akawachinjia fasta. Kichapo nilichopokea aisee, usipime, manundu mWili mzima kama nimepigwa na radi.
 
Kuna perspectives nyingi....

1. Kuoana kwa ajili ya kutengeneza familia.
Hapa tunaenda na ile principle ya supply and demand.... kwa mwanamke the more the age, the less the demand.... kwa mwanaume haina effect kwake, hata kibabu cha miaka 100 kinaoa na kumimbisha vizuri tuu.

2. Kuolewa kwa ajili ya maisha tu, hakuna kuzaa.
Hapa ndipo wanawake wenye age kubwa wanafit.... hapa mwanamke hukosi mtu wa kukuweka ndani, ila ndoa sahau.

NB: Umedanganywa kwamba mwanaume akizeeka basi inalala lolo. Hiyo siyo kweli. Kama ambavyo kitoto kilichozaliwa tuu kina uwezo wa kudindisha, ndivyo ilivyo hata kwa mzee wa miaka hata 200. Kifupi hata maiti mwanaume ukistimulate dick yake inasimama.
NB nimeielewa kweli mkuu, asante sana
 
Nakumbuka pasaka moja enzi hizo, mama kaenda kanisani, kaniachia mboga nipike, akirudi aendelee na mapishi mengine.

Bata mtamu nyie, nikachukua kipande kimoja ili nionje, chumvi ilikuwa imekolea vyema, kawekwa tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili manga, viungo vimemkolea.

Nikaongeza kipande cha pili, aisee kikawa kitamu kuliko cha kwanza, ninachokumbuka nilibakiza vipande vitatu tu.

Mama akarudi akiwa ameongozana na Mchungaji, Mwinjilisti na Mzee wa kanisa.
Uzuri kulikuwa na kuku bandani, akawachinjia fasta. Kichapo nilichopokea aisee, usipime, manundu mWili mzima kama nimepigwa na radi.
🤣🤣🤣🤣 Buji bhana,kuonjaonja siyo kuzuri ujue😊
 
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani bas hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndo anakosa soko kadri age linapokwenda?

Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo.Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kaz tena🧐...ee Kaz haipo ya hicho chombo.🤒

Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi....tuachane na zile kujidefence,tuongelee uhalisia sasa🤨

Muwe na siku tulivu bas,eti?
Shoga angu mwanaume hakosi soko mwanamke anakosa trust meee
 
Nafikiri Tatizo si shimo, Tatizo ni muonekano na common sense .

Wanawake wengi wanavyozid Kula age huku Wanastress za kuolewa akili zinazidi kufyatuka
Akili zao wengi zinawazaga visasi, waganga, kuuza mechi Kwa ela ya madafu, ulevi, umbea, ujuaji mwingi n.k
Hapa mwanaume akijichanganya vibaya kupigwa tukio zito ni kawaida 🥴
 
At least nimekuelewa mkuu....🙏
 
Nakumbuka pasaka moja enzi hizo, mama kaenda kanisani, kaniachia mboga nipike, akirudi aendelee na mapishi mengine.

Bata mtamu nyie, nikachukua kipande kimoja ili nionje, chumvi ilikuwa imekolea vyema, kawekwa tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili manga, viungo vimemkolea.

Nikaongeza kipande cha pili, aisee kikawa kitamu kuliko cha kwanza, ninachokumbuka nilibakiza vipande vitatu tu.

Mama akarudi akiwa ameongozana na Mchungaji, Mwinjilisti na Mzee wa kanisa.
Uzuri kulikuwa na kuku bandani, akawachinjia fasta. Kichapo nilichopokea aisee, usipime, manundu mWili mzima kama nimepigwa na radi.
Umenikumbusha nikiwa darasa 3 nilionja utumbo kilo moja 😀😀😀😀😀😀nikabakiza vipande 5 na supu ile kipigo nilipgwa siji kusahau
 
Kuondoka sokoni kwa mwanaume ni kufariki tuu, tofauti na hapo ni moto kwa kwenda mbele, tukiwa wakweli kabisa mwanamke akisha fika miaka 40 kwenda mbele anakua havutii tena, ni wachache wanao fika umri huo alafu wakawa na mvuto angalau wa kushawishi macho tuu
 
Back
Top Bottom