Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Sa mwanamke anakosajeShoga angu mwanaume hakosi soko mwanamke anakosa trust meee
Mbona wengine Bado wana soko🤣🏃
Au udongo mzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mwanamke anakosajeShoga angu mwanaume hakosi soko mwanamke anakosa trust meee
Duh nimecheka 🤣🏃Umenikumbusha nikiwa darasa 3 nilionja utumbo kilo moja 😀😀😀😀😀😀nikabakiza vipande 5 na supu ile kipigo nilipgwa siji kusahau
We ndo umeongeaHii ya mwanamke kuzeeka mapema ni mind set tu sisi maskini wa ulimwengu wa tatu.
Watu wanazaa tu sikuhiziKukamata mimba sasa hahaha fkkisha 45 kwenda juu mimba utaisikia tu. Wana biologia wanaita sijui minopoz
100%Una uhakika mkuu?
yaaani ile siku siisahauDuh nimecheka 🤣🏃
udongo dsda 😃😃 kama huamini nenda makanisani alafu waseme wanaotaka kuolewa watoke uoneSa mwanamke anakosaje
Mbona wengine Bado wana soko🤣🏃
Au udongo mzuri?
Sawa100%
🤣🤣Wakoje?udongo dsda 😃😃 kama huamini nenda makanisani alafu waseme wanaotaka kuolewa watoke uone
wanajua wao 😃😃😃😃😃🤣🤣Wakoje?
Basi itakua udongo...😅udongo dsda 😃😃 kama huamini nenda makanisani alafu waseme wanaotaka kuolewa watoke uone
Sina umri huo just joking.Umeolewa?
Wa alaykum asalaam, za wapi huko?Weee sema kweli 😂🤭🤭!!
Samalekoooo 🤚!!
Basi lazima utakuwa una zaidi ya miaka 30 ndomaana una stress za kukosa kuolewa.Sina umri huo just joking.
Bado sijaolewa nafanya research ya wanaume
Huku Nsigimbi madongoporomoka MilimaniWa alaykum asalaam, za wapi huko?
KaterKaterero hiyo babu
Asante jamaniiiii.... nimekumiss sanaaa.. nilikua naumwa sana macho mpaka nkawaza apa naendakuwa kipofu na sitaingia tena humu.....Barikiwa sana mkuu