Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Attachments

  • Screenshot_20230918-063821.png
    Screenshot_20230918-063821.png
    35 KB · Views: 2
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...[emoji848] Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda?

Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo. Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kazi tena[emoji3166]...ee Kazi haipo ya hicho chombo.[emoji855]

Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi.... tuachane na zile kujidefence, tuongelee uhalisia sasa[emoji2955]

Muwe na siku tulivu basi, eti?
Kama wewe ni mwanaume utakua LGBTQ

I am sorry lakini ukweli ni kwamba Mwanaume hazeeki, labda awe na magonjwa kama ambavyo pia mwanamke anaweza kua na magonjwa
 
Haya,research ulifanya lini???
Njoo na sample zako na details
Ni simple research, sina maandishi, lakini hata ukiifanya kiprofessional utakuta hivyo, kwasababu karibu kila mwanaume ukimuuliza anaangukia humo. We uliza wanaume uone.

Au hata wewe ukitombw, huoni bao la kwanza ndo linawahi halafu mengine yanachelewaga.
 
Kuna umri ukifika unabidi kukubali matokeo na kufocus na Maisha ya uzeeni kulea wajukuu na kuzingatia maelezo ya daktari .

Kama upo na 55 means umezaliwa 1968 huo umri ni Kama wa my mom Mimi Nina 26 yrs Kaka zangu wana 30s so jitahidi kuwa na hekima na Busara maana kukaa hapa majukwaani kuzodolewa haikujengi pia inaonesha how rude you are so mantain hekima Sana kuwa mtu was ibada huku ukisubilia hatima yako kukamatika.
Yaani umeongea busara sana, badala alee wajukuu zake, anahangaika na vijana wabichi humu anatafuta nini, huu ni muda wake wa kuandika woaia.
 
Yaani umeongea busara sana, badala alee wajukuu zake, anahangaika na vijana wabichi humu anatafuta nini, huu ni muda wake wa kuandika woaia.
Kuandika wosia.
 
Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda?

Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo. Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kazi tena🧐...ee Kazi haipo ya hicho chombo.🤒

Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi.... tuachane na zile kujidefence, tuongelee uhalisia sasa🤨

Muwe na siku tulivu basi, eti?
🤣🤣Haya mkuje mtuambie
Tena wengine vijana ila mtu gi haupandi🏃🏃🏃🏃
 
Weee mama pasta weee mtungi haupandi na ni vijana??!!!🤔🤔! Hatari nanusuuuu hio!
Kweli hapa navyokwambia Kuna mkaka jmn mke amehangaika Kwa waganga weee,ss imebidi aje kwenye maombi,Hali ni Tete ,miezi 6 ss...
Ila alikuwa mzima tu sijui nn kimetokea🤔
 
Kweli hapa navyokwambia Kuna mkaka jmn mke amehangaika Kwa waganga weee,ss imebidi aje kwenye maombi,Hali ni Tete ,miezi 6 ss...
Ila alikuwa mzima tu sijui nn kimetokea🤔
Duhh!! Mpe pole sana atakua kayavagaa ya kuyavagaaa huko wakamsoma kwenye rada!!

Inahuzunisha na kutia huruma sana mama pastaaa!
 
Back
Top Bottom