Naona mjadala umekuwa wa moto kweli.........
Ngoja niwaibie Siri vijana wangu au watoto wangu na wengine wajukuu zangu........
Mwanaume anaathiriwa sana na mtindo wake wa maisha....... mitindo ya maisha ya mwanaume inaacha athari kubwa sana kwenye mwili wa mwanaume.......ukiwa na health lifestyle utaufurahia uanamume wako kama Mungu akikupa uhai mrefu mpaka uzeeni huko......na kama ukiishi maisha mabaya ya anasa utaanza kuyajutia maisha yako hata kabla ya uzee au hata usiufikie uzee.........
Mwanamke hali yake ya mwili na maumbile yake vinaathiriwa na mabadiliko na vichocheo vya kimwili kwa lugha nyepesi mwili wa mwanamke na mfumo wake wa ufanyaji kazi vinamuamulia muda Gani azeeke au awe Binti.......na speed inakuwa kubwa zaidi kwa jinsi anavyobeba mimba na msongo wa mawazo Kwa hiyo mwanamke anawahi kuzeeka kuliko mwanaume kuanzia muonekano mpaka maumbile........
Upande wa sexy life
Kwa kadri umri unavyokwenda ndio mindset yako inabadilika kuhusu sexy na namna unavyoiendea...... vijana wadogo wanaamini sana kwenye physical sexy kwa sababu ya mihemko Yao kuwa juu muda wote hivyo kushindwa kujizuia........kwa sisi watu wazima tunaamini sana kwenye foreplay sana and cuddles kwa muda mrefu na physical kidogo mpaka wote mnaridhika.......Sanaa ya sexy inataka foreplay za muda mrefu na physical kidogo sana ndio maana lesbians wanakuwa na strong relationship kuliko mnaotiana........
Hormones za mwanamke zina decrine with time hata kwa upande wa mwanaume ni hivyo pia lakini anaweza aka reverse kwa kubadilisha mfumo wa maisha na kufanya mazoezi..........
Wanaume wengi kama hawana zile alama common za utu uzima kama vile mvi na upara ni vigumu kukadiria umri wao kwa muonekano kama alijitunza vizuri......ila kwa wanawake unaweza kumkadiria miaka mingi sana kwa muonekano wake ni wachache sana wenye kuonekana wadogo...........
Uchumi pia unachangia sana kumuangusha mwanamume kwa kuwa matatizo Sugu ya kiuchumi hayakuathiri tu mifukoni bali mpaka kisaikolojia na mwanaume saikolojia yake inaathiri karibia mfumo mzima wa maisha yake........
Mwanaume ukijiweka mbali na pombe, sigara na mihadarati mingine huku ukihangaisha na shughuli zinazouweka mwili wako active kidogo na vyakula bora utaishi miaka mingi ya nguvu na furaha kubwa sana
Mwanamke pia ukijitunza vizuri na ukadhibiti mwili wako huku ujiweka mbali na stress na tamaa juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wako pia unaishi miaka mingi ya furaha na amani.....
Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza kufa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na lifestyle zetu mbaya......hata kwenye jamii kumkuta mwanamke mlevi sio rahisi kama kumkuta mwanaume mlevi
NB;
Mwanamke mwili wake unatangulia na umri unakuja nyuma....lakini mwanaume umri unatangulia na mwili unakuja nyuma..........