Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

msema ukwel ni mpenz wa mungu... Me nna miaka _9 lakn kuna msichana namzid mwak 1 ana ile miili tunaitaga nyumba... Na sio yeye tu ni wengi...
MAtumizI Ya vikojoleo huko mbele mtatoFautIanA tu mKuu
 
Inategemea.

1. Wanawake wengi soko linaisha Kwa sababu ya maumbile Yao kupoteza mvuto.
Unene, michirizi, weusi wa mapaja, kulegea Kwa nyama ni miongoni mwa mambo yanayoondoa mvuto wa Mwanamke kwenye suala la ngono.

2. Wanaume ishu kubwa hapo labda ni kipato.
Lakini kwenye ishu ya uzee wanaume miili Yao imeumbwa kikakamavu hata isipotunzwa inaweza kuhimili Hali ngumu za Maisha.

Wanawake miili Yao inahitaji itunzwe muda wote na haihitaji makazi magumu magumu ili angalau idumu Kwa muda mrefu.

Kwenye uhalisia WA kiafrika, Mwanamke soko lake linapotoea mapema Kwa sababu ya Kazi ngumu, lishe Duni na Elimu ndogo ya kutunza miili Yao.

Sio ajabu Mwanamke mwenye miaka 35 tuu ambapo ni mdogo kabisa inaonekana ni aibu akivaa vinguo vifupi Kutokana na mambo yatakayoonekana ni ya kumdhalilisha badala ya kumpa fahari
Mkuu sipingani na wewe kwa hoja zako ulizozitoa ila mimi basi ntakuwa na tatizo
Maana nikiona michirizi ya mapaja na kwenye makalio ndo napata mzuka kinoma
 
Mkuu sipingani na wewe kwa hoja zako ulizozitoa ila mimi basi ntakuwa na tatizo
Maana nikiona michirizi ya mapaja na kwenye makalio ndo napata mzuka kinoma

Ingekuwa hivyo kusingekuwa na Dawa za kuondoa hiyo michirizi ambayo inatafutwa Kwa udi na uvumba.

Inaonekana bado kwenye Game bado mgeni Mkuu. Endelea endelea kidogo utanielewa
 
Naona mjadala umekuwa wa moto kweli.........

Ngoja niwaibie Siri vijana wangu au watoto wangu na wengine wajukuu zangu........

Mwanaume anaathiriwa sana na mtindo wake wa maisha....... mitindo ya maisha ya mwanaume inaacha athari kubwa sana kwenye mwili wa mwanaume.......ukiwa na health lifestyle utaufurahia uanamume wako kama Mungu akikupa uhai mrefu mpaka uzeeni huko......na kama ukiishi maisha mabaya ya anasa utaanza kuyajutia maisha yako hata kabla ya uzee au hata usiufikie uzee.........

Mwanamke hali yake ya mwili na maumbile yake vinaathiriwa na mabadiliko na vichocheo vya kimwili kwa lugha nyepesi mwili wa mwanamke na mfumo wake wa ufanyaji kazi vinamuamulia muda Gani azeeke au awe Binti.......na speed inakuwa kubwa zaidi kwa jinsi anavyobeba mimba na msongo wa mawazo Kwa hiyo mwanamke anawahi kuzeeka kuliko mwanaume kuanzia muonekano mpaka maumbile........

Upande wa sexy life
Kwa kadri umri unavyokwenda ndio mindset yako inabadilika kuhusu sexy na namna unavyoiendea...... vijana wadogo wanaamini sana kwenye physical sexy kwa sababu ya mihemko Yao kuwa juu muda wote hivyo kushindwa kujizuia........kwa sisi watu wazima tunaamini sana kwenye foreplay sana and cuddles kwa muda mrefu na physical kidogo mpaka wote mnaridhika.......Sanaa ya sexy inataka foreplay za muda mrefu na physical kidogo sana ndio maana lesbians wanakuwa na strong relationship kuliko mnaotiana........

Hormones za mwanamke zina decrine with time hata kwa upande wa mwanaume ni hivyo pia lakini anaweza aka reverse kwa kubadilisha mfumo wa maisha na kufanya mazoezi..........

Wanaume wengi kama hawana zile alama common za utu uzima kama vile mvi na upara ni vigumu kukadiria umri wao kwa muonekano kama alijitunza vizuri......ila kwa wanawake unaweza kumkadiria miaka mingi sana kwa muonekano wake ni wachache sana wenye kuonekana wadogo...........

Uchumi pia unachangia sana kumuangusha mwanamume kwa kuwa matatizo Sugu ya kiuchumi hayakuathiri tu mifukoni bali mpaka kisaikolojia na mwanaume saikolojia yake inaathiri karibia mfumo mzima wa maisha yake........

Mwanaume ukijiweka mbali na pombe, sigara na mihadarati mingine huku ukihangaisha na shughuli zinazouweka mwili wako active kidogo na vyakula bora utaishi miaka mingi ya nguvu na furaha kubwa sana

Mwanamke pia ukijitunza vizuri na ukadhibiti mwili wako huku ujiweka mbali na stress na tamaa juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wako pia unaishi miaka mingi ya furaha na amani.....


Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza kufa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na lifestyle zetu mbaya......hata kwenye jamii kumkuta mwanamke mlevi sio rahisi kama kumkuta mwanaume mlevi


NB;
Mwanamke mwili wake unatangulia na umri unakuja nyuma....lakini mwanaume umri unatangulia na mwili unakuja nyuma..........
 
Back
Top Bottom