Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Mada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.Hata Mbowe ameshindwa kuwa Waziri mkuu kama alivyotuahidi wakati wa kampeni!
Merry Christmas!
Kiwango chake kimeshuka sana siku hizi ni wa kumuonea huruma tu. Dirisha dogo la usajili anaweza kwenda FB.Mada kama haukuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Mada inazungumzia ahadi za uchaguzi.Mada kama haukuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Hahahaaaa...... Baba yako Lissu haijui hiyo saikolojia anapelekeshwa tu na Robert Amsterdam, ndio itakuwa wewe sisimizi wa Ufipa!Tayari nimeshakuwini kisaikolojia. Njoo kivingine sasa na ID yako nyingine ya Etwege
Mipango si matumizi tambua unapanga then vinatokea vipaumbele vingine, bora yeye kathubutu hata kujaribu nyie je mna mradi gani hata mnaofikiria?Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kuna maeneo kadhaa anajuwa alikurupuka na ameharibu kama ifuatavyo:Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Nasikitika kusema kwamba huyu jiwe atamaliza miaka kumi bila kumkamilisha project yoyote, labda zile alizoacha JKStand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kwani fedha za ndani makusanyo hayatoshi?bajeti mali-kauli hawana hata mia.
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua
Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Tumekusanya mpaka wananchi wamebaki na nguo za ndani tu.Kwani fedha za ndani makusanyo hayatoshi?
Kwamba Stand ya Mbezi imekamilikaKumbe umesikia (umbea)? Tatizo aliyekusikilizisha naye alisikilizishwa, sasa acha kusikilizishwa nenda kajionee mwenyewe .