Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Hela yote ilipelekwa kutengeneza mabango ya kampeni ya mwizi wa kura
 
Nasikia " si kila kitu huwa kinaenda bila changamoto hiyo ni kanuni ya dunia hebu siku nyingine punguza unafki kidogo".
 
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Unasikia!!!!! Una matatizo sana
 
Hakuna Helaaaa

Finances never lie.....Bank account never lies....

Salio la akaunti ya benki lazima likuumbue

No money,na TRA makusanyo ni zero hakuna biashara inayotoa kodi
zote ni hoi bin taabani

Tanzania kama URAYAAAAAAAA
Kuna wakati tunasema.

Kuna wakati mwingine tunaachia uchumi useme.

Haiwezekani nchi iendeshwe kibabebabe, kwa culture ya anti- business, arrogantly, bila strategy, halafu mambo yatengemae.

You can fool some people for some time, you can even fool some people all the time, but you can't fool all the people all the time.
 
Mada kama haukuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Jamaa alikuwa makini kwenye uchangiaji wa hoja, ila siku hizi ana haribiwa na nini sijui
 
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Bila ushaidi wa hayo unayoyasema ni sawa na kujadili yai la jogoo
 
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Ukiona hivyo tumefikia namba za kilatini.
 
Mipango si matumizi tambua unapanga then vinatokea vipaumbele vingine,bora yeye kathubutu hata kujaribu nyie je mna mradi gani hata mnaofikiria?
Wahenga huwa walijaliwa hekima Sana hata wakaja na semi nyingi za hekima naomba tujaribu kukumbushana semi zile zinazoendana na mazingira yeti ya leo.
 
Lipeni kodi ndugu zangu hii miradi itaisha ndani ya mwaka mmoja tu 😊
 
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Hizo hela za kufanyia hayo yote zinatoka katika vyanzo vipi vya serikali kwa mfano?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa
 
Kuna maeneo kadhaa anajuwa alikurupuka na ameharibu kama ifuatavyo:
1. Kuhamia Dodoma
2. STIGLERS GORGE
3. SGR kuanza kwenda Rwanda badala ya Uganda
4. Kiwanja cha ndege Chato
5. Kivuko cha Busisi Lake Victoria
6. Kununua ma-Dreamliner bila mpangilio

Haya ma miradi hata akija msaidizi wake wa Karibu kama Kassim Majaliwa au Palamagamba Kabudi atapindua ndani ya siku100 za kwanza. Siyo lazima CDM kwa kuwa haihitaji kuwa na PhD kujua kwamba yalifanywa kwa ajili ya sifa na hayana upembuzi yakinifu
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania
 
Stand ya mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya una suasua

Ujenzi huko Dodoma speed si yakuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimamuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndo mjue kwama mambo ayaend ipasavyo? Kuna nn mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kwa hiyo unasikia raha au huzuni?
Na huo utafiti ulikuwa unaufanya ili kama imekwama usaidie kipi ili iongeze kasi?
Au ilifanya ili ushangili kwa kukwama?
 
Back
Top Bottom