Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania
Hapo sasa ndiyo wataalamu wa mipango wanahitajika. Na mpango mzuri wowote lazima una chapter ya RISK MANAGEMENT FRAMEWORK. Hii hujaribu kutabiri vihatarishi vinavyoweza kuukwamisha mradi na namna ya kuvikwepa. Kama vihatarishi ni vingi kiasi cha kuweka kuufanya mradi usifanikiwe basi wataalamu hutoa ushauri chanya.
 
Uchumi wa jiwe, uchumi dorooo wamebaki kupora billions kwenye bank accounts za Watanzania na makampuni Nchini baada ya kuwabambikia kesi fake. Mtu maisha yake yote ni FAILURE na MBABAISHAJI tu pia anajiita mwendawazimu bado 2015 wakafanya makosa makubwa sana ya kumkabidhi Nchi. 2020 wakakaa kimya na kumuacha aibe na hata kuua ili kupora uchaguzi Nchi nzima. Huu ni mwanzo tu gharika la kutisha kiuchumi LINANYEMELEA taratibu.

Taifa lolote pasipo mashauri lazima litaangamia.
Ujuaji mwingi maanguko mbele
 
Miradi mingi ilikuwa ni ya kukurupuka isiyoendana na Hali halisi.Ilianzishwa kwa lengo la kuwakoga waliotangulia na sio kuangalia uhalisia wa mapato.
.Ndege nyingi kuliko wapandaji.
.SGR bado kitendawili, anaombwa mchina aokoe jahazi.
. Kiwango cha kukopesheka kinaelekea ukingoni.
.Riba za mikopo zinaongezeka Hali miradi inasusua kukamilika Ili irudishe pesa.

Ujuaji mwingi maanguko mbele.

Umeweka kisu kwenye mfupa.
 
Hapo sasa ndiyo wataalamu wa mipango wanahitajika. Na mpango mzuri wowote lazima una chapter ya RISK MANAGEMENT FRAMEWORK. Hii hujaribu kutabiri vihatarishi vinavyoweza kuukwamisha mradi na namna ya kuvikwepa. Kama vihatarishi ni vingi kiasi cha kuweka kuufanya mradi usifanikiwe basi wataalamu hutoa ushauri chanya.

Huwezi mshauri mjuaji anaejua KILA kitu kumbe ni empty kabisa.
 
Huwezi ukainua uchumi kwa kukopa na kuwekeza kwenye macro economic ambazo zote tayari Zina mbadala wake.
Why SGR na sio kuboresha reli ya zamani, mabwawa ya zamani kwa kuondoa tope kwenye mabwawa na kufunga mota mpya za kisasa zitumiazo maji kidogo umeme mwingi.
Hizo pesa za kwenye miradi isiyo na chance ya kukamilika Kama zingewekezwa kwenye kilimo ndani ya miaka 3 zingesharudi Mara tatu huku zingetoa ajira milioni 12 na kumaliza kabisa tatizo la ajira kwa vijana,huku pesa nyingi Sana za kigeni tungepata, makusanyo ya Kodi yangekuwa makubwa Sana then ndo tufanye miradi hio.
Check Malaysia waling'oa mpira wakapanda michikichi tu mbegu walichukua afrika na leo ni exporter tegeo wakubwa duniani wa mafuta ya kula na wanapata pesa nyingi Sana zilizokuza uchumi wao.
Sisi mapori yamejaa kufugia nyoka tu Hali wananchi dhoofu Hali. Ni sahihi kwetu kununua ndege inayoajiri watu 30 badala ya pesa hio ya ndege kuwekeza kwenye kilimo ikaajiri watu milioni 5 kwa thamani ya dreamliner moja tu ni sawa na ajira milioni 5 tena endelevu kwa kiongozi mchumi.
 
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania
Corona isiwe kimbilio la lawama mambo yaliharibika hata before coronavirus
 
Kuna wakati tunasema.

Kuna wakati mwingine tunaachia uchumi useme.

Haiwezekani nchi iendeshwe kibabebabe, kwa culture ya anti- business, arrogantly, bila strategy, halafu mambo yatengemae.

You can fool some people for some time, you can even fool some people all the time, but you can't fool all the people all the time.

You can't propaganda people all of time.Mafuta na maji hata uyachanganye vipi kwa kuyakoroga yakitulia yatajitenga tu.
Propaganda na reality ni vitu viwili tofauti
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
usipende sana kuropoka ovyo ovyo sisi wenyewe tunaona hadi wanamulika kwa taa za magari usiku kazi mpaka saa nne usiku we unaropoka ovyoovyo
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Umesikia wapi mwizi wa kura akajali ahadi?!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hayo matatizo mawili ya njaa na unafiki nayajua, unaweza kinifafanulia hilo tatizo la mwisho la "nyege"
We angalia hata viongozi wanafanya maamuzi ya kijinga kwasababu ya kuwaridhisha mademu zao. Angalia viti maalum, angalia viongozi wa upinzania na chama tawala. Wamefanya mambo ya kijinga sana na kugawa vyeo kwa wanawake ambao hata uwezo hawana. Yote hiyo ni nyege tu.
 
Actually hata kiwango cha ujenzi wa mtu mmoja mmoja kwenye jamii kimeshuka sana!

Kuthibitisha hilo kafanye simple survey kwa wauza vifaa vya ujenzi utapata takwimu watakwambia jinsi mauzo yao yakivyoshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma!
 
Kumbuka kuna swala la korona ambalo limeharibu kabisa uchumi wa dunia, inavyoonekana dunia inapita kwenye nyakati mpya na inaweza isirudi kwenye hali ya kawaida..
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Fedha ndiyo tatizo.
 
Kumbuka kuna swala la korona ambalo limeharibu kabisa uchumi wa dunia, inavyoonekana dunia inapita kwenye nyakati mpya na inaweza isirudi kwenye hali ya kawaida..
Korona ina miezi sita tu, ila mambo kwetu yalianza kuwa mabaya kabla ya corona.
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa

Afu mchoro kabla na tunavyo viona ni vitu viwili tofauti aisee
 
Back
Top Bottom