MaCCM hayo yanaota wapinzani wanayadharau mpaka hayalali pamoja na kushinda Uchafuzi kwa wizi wa kura na yanajua Upinzani ndo walishinda.Mada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua
Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Mada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Kwa hiyo unasikia raha au huzuni?
Na huo utafiti ulikuwa unaufanya ili kama imekwama usaidie kipi ili iongeze kasi?
Au ilifanya ili ushangili kwa kukwama?
Wewe una ubongo wa panzi ndiyo maana hujaelewaHopeless comment ever!
Mkuu kubali kuwa you are performing below expectations.Mada inazungumzia ahadi za uchaguzi.
Merry Christmas!
Kichwa maji! Reli na Lami ?! Bichwa kubwa kumbe tikiti maji tu!Nimepita site ya reli juzi Kati pale Moro miezi sita Sasa wameshindwa weka lami
Ahadi za uchaguzi ni siasa usisahau hilo...... Watakucheka!Mkuu kibali kuwa you are performing below expectations.
Akiri× ni Akili√Wenye akiri na macho wanona ila vipofu mtabaki mnalalamika mpaka dunia itakapo isha.
Baada ya kujua kwamba kaharibu na utalii na madini hayafanyi vizuri kama ilivyotarajiwa kabadili Hadi toni ya kuongea na mi 5 tena inakwenda kwa Kasi Sana ,,hapa Meko ujanja mfukoni lazima akakope mzigo kwa bwana zao wachinaHakuna Helaaaa
Finances never lie.....Bank account never lies....
Salio la akaunti ya benki lazima likuumbue
No money na TRA makusanyo ni zero hakuna biashara inayotoa kodi
zote ni hoi bin taabani
Tanzania kama URAYAAAAAAAA
Excuse zimeanza,wakati mnaambiwa fanya kwa tahadhari bila pupa maana ya kesho hamuyajui mlikuwa mnasema nini?Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani
Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,
Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani
Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu
Mungu Ibariki Tanzania
Sawa sie tunaingizwa kwenye tabu kwa kiburi na jeuri ya mtu,,kwanza hata haya mamiradi ya kutumia msbilioni ya pesa kujenga mastendi ya show off ni upuuzi yaani saizi Halmashauri zinashindana kujenga stend kali,mantiki yake huwa siioni maana hizo pesa zingeweza kufanya mambo ya nsingi na yenye tija kuliko huo upuuzi wa stend.Agreed but the sufferings from his mediocre performance is for the whole population of 60 millions Tanzanians and for so many years to come.
Ukisomesha watu namba,ukiwakimbiza matajiri,ukiuwa sekta binafsi,ukizuia mzunguko wa pesa mtaani hizo pesa utapata wapi sasa.Fedha ndiyo tatizo.
Na kama maccm Wana akili,kwenye mazingira kama haya ambapo uchumi umeyumba pesa chache watakazopata ni afadhari wazielekeze kwenye masuala muhimu tu ya jamii ambayo yatafanya smooth running ya maisha ya kawaida badala kupelekwa kwenye hayo ma project yanayo drain uchumi,hii itasaidia kupunguza ukali wa maisha ,,bora hayo ya stop kabisa au watafute mkopo wa kulipa mda mrefu ndio wafanye sio kwa pesa ya madafu tenaHii hali ya maendeleo yenye propaganda ndani yake, yalitengeneza uhalali wa wapinzani kufanyiwa unyama, ukatili na uhayawani wa wazi. Hivyo usitegemee kundi lilifanyiwa udhalimu likose raha kama miradi iliyokuwa kificho cha kuwatetea na kuwadhalilisha itakwama. Ni bora ikamwe ili iwe funzo kuwa miradi ya maendeleo sio kichaka cha kiongozi kutumia madaraka yake vibaya kunyanyasa wanaotofutiana naye mitazamo. Iwapo miradi hiyo itakwama itasababisha kupata katiba mpya ambayo madaraka ya rais itabidi yapunguzwe, kwani imedhihirika yanatumika vibaya. Imeisha hiyo.
Mnaponifanya nizidi kuhuzunika ni pale mawaziri na makatibu wakuu wanaposimama na kusema kila kitu kiko sawa ilahali wanajua nchi iko hoi. Mfano. Wizara ya Afya wanasema hosipitalini madawa yapo na kila kitu kiko sawa ila ukienda hata chanjo za watoto siku hizi hakuna, dawa za mifupa za watoto hakuna, vidonge vya damu kwa wajawazito navyo hakuna. Ajabu kila siku mnasema madawa yapo na bajeti ziko juu. Matatizo makubwa ya hii nchi ni Unafiki, Njaa na Nyege.