Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Kichwa maji! Reli na Lami ?! Bichwa kubwa kumbe tikiti maji tu!
Umeandika ujinga sijui Kama umenielewa

Ngoja nikuelewe we ndezi

Pale kingolwira Kuna barabara inapita juu ya daraja ambalo chini Kuna reli itapita

Sasa hio barabara no zaidi ya six months Sasa haijawekwa lami ili Gari zianze pita hapo juu badala ya kuchepuka pembenj kwenye barabara yenya makorongo

The same scenario iko kihonda kwa chambo Napo Kuna daraja pia

Ndio maana nikasema why zaidi ya miezi wameshindwa weka lami maana hayo madaraja yako tayari .

Siku ingine uwe mtulivu kidogo usikurupu usikute hata hizo sehemu hujawahi fika uko kwenu huko namtumbo unalima mihogo

Shwain!!!
 
Nilikua Morogoro tarehe 22/12/2020 hakuna cha SGR kila kitu kimezimwa nyasi zimeshaota ile cleared route. Hakuna kinachoendelea. What a stalled project. Yaani kwishney. Aibu kubwa inatufuata kama Taifa.
 
Ahadi za uchaguzi ni siasa usisahau hilo...... Watakucheka!
Pengine nyie vijana hamkupitia zile afternoon english debates.
Kuna kitu ilikuwa, unakuwa precise and concise, up to the point of the subject matter.
Tukijadili matunda, nawe ukaanza kusifia viazi mbatata, to be precise una bore.
 
Mipango si matumizi tambua unapanga then vinatokea vipaumbele vingine, bora yeye kathubutu hata kujaribu nyie je mna mradi gani hata mnaofikiria?
Tanzania ina serikali moja tu ambayo hukusanya kodi toka kwa wananchi na kuzitumia kwa miradi ya wananchi, sasa wewe unayedai asiyekusanya kodi kajenga miradi gani, unaakili sawa! Shangaziyo anakusanya kodi mitaa ya Kinondoni wakati wa usiku amejenga miradi gani? Hamia Fb huku si kwako.
 
Kuna maeneo kadhaa anajuwa alikurupuka na ameharibu kama ifuatavyo:
1. Kuhamia Dodoma
2. STIGLERS GORGE
3. SGR kuanza kwenda Rwanda badala ya Uganda
4. Kiwanja cha ndege Chato
5. Kivuko cha Busisi Lake Victoria
6. Kununua ma-Dreamliner bila mpangilio

Haya ma miradi hata akija msaidizi wake wa Karibu kama Kassim Majaliwa au Palamagamba Kabudi atapindua ndani ya siku100 za kwanza. Siyo lazima CDM kwa kuwa haihitaji kuwa na PhD kujua kwamba yalifanywa kwa ajili ya sifa na hayana upembuzi yakinifu
Eleza miradi hiyo imekwama vp na wewe miradi yako uliyofanya imefanikiwa vp siyo kila kitu useme kimekwama.

Huo ni ujinga kuchafuana wewe tulia miaka 5 haijaisha unawashwa mbona nyie mmeshindwa uchaguzi?
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Tupunguze kuwa negative kwa hii serikali ya magu,japo ni serikali ya hovyo
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa
Mkuu maigizo bila pesa na blabla kama blabla nyingine
 
Nielewavyo mimi ukikosana na mataifa wafadhili za kimagharibi eti ukitegemea China kama mbadala wa kujaza pengo ujue kabisa umewaka.

Kwanza China hatoi msaada wa kibajeti ambalo kimsingi ndilo tatizo kubwa la mataifa mengi na yeye atakujengea tu miundombinu ila kwa mkopo ambao riba yake utaona kilichomnyoa kanga manyoya.

Na hili ndilo tatizo lililotumbukiza mataifa mengi kwenye "Debt Trap" na China, akina Kenya, Zambia, Sri Lanka nk hadi sasa Kenya imekuja kuokolewa na hela ya Corona walizopewa na jumuiya ya kimataifa.

Magufuli ni "Very Naive" katika maswala ya kimataifa na ya kiuongozi kwa ujumla kiasi kwamba alifiriki kuwakomalia wazungu ni sifa sasa ndio anaanza kuona madhara yake, atakufa kiofisa na tai shingoni. Tusubiri tuone.
 
Hakuna haja ya kutaja majina humu JF kwani kila mwenye akili timamu anajua orodha ya wezi na mafisadi iliyoko huko kwa Pilato Kisutu na Mahakama nyinginenchini ikiwa ni pamoja na ile ya Wahujumu Uchumi. Orodha ipo na kama yumo mwana CCM basi naye atakwenda na maji! Awamu hii siyo ya kubebana!

Maelezo na maneno mengine ni HEARSAY tu ambazo hazina msingi na ushahidi wowote, kiasi ambacho naweza kusema ni rhetorics za kawaida kama alizokuwa akisema Tobbo!

ungekaa kimya tu, miaka mitano bado kesi ziko mahakamani, na hao wanaccm watashitakiwa miaka 50 ijayo? Pesa za escrow zilitolewa kwenye sandarusi, mbona gavana wa BoT hajakamatwa, wala viongozi wa ccm waliosaini kuchukuliwa hatua yoyote? Huko Magereza wako ambao rais anawachukia.
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Simple answer: No money.
 
Back
Top Bottom