Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,743
- 6,656
Huu ndio ukweli usiopingikabajeti mali-kauli hawana hata mia.
Huu ndio ukweli usiopingikabajeti mali-kauli hawana hata mia.
Nasikitika kusema kwamba huyu jiwe atamaliza miaka kumi bila kumkamilisha project yoyote, labda zile alizoacha JK
Mataga na wapuuzi wenzao wana majibu ya hiiHivi imefikia wapi??? Tuliambiwa Novemba 31 ingeanza kutumika, ina maana bado tunatumia pale Ubungo??
Ukiona mtu jeuri amekuwa mpole jua Hali tete.Alipoingia alifungua kwa fujo viwanda vya JK na miradi ya JK
Kamwambie aliyekutuma watanzania hatudanganyikiStand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua
Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Unavoongea una uhakika utasema we ni nabii au mtume,, kumbe unaandika tu kwa ajili ya kupata likes nyingi dadekiUchumi wa jiwe, uchumi dorooo wamebaki kupora billions kwenye bank accounts za Watanzania na makampuni Nchini baada ya kuwabambikia kesi fake. Mtu maisha yake yote ni FAILURE na MBABAISHAJI tu pia anajiita mwendawazimu bado 2015 wakafanya makosa makubwa sana ya kumkabidhi Nchi. 2020 wakakaa kimya na kumuacha aibe na hata kuua ili kupora uchaguzi Nchi nzima. Huu ni mwanzo tu gharika la kutisha kiuchumi LINANYEMELEA taratibu.
Some people tend to be awful but they suffer the consequencesMada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
Right! Tanzanians tried to straighten the situation through the vote box in vain. Those who were in the front line fighting for us have been subjected into innumerable sufferings. There is no one to speak for us even in the parliament. Without a divine intervention, there is no other way but to wait for five more years. Kilangila.Agreed but the sufferings from his mediocre performance is for the whole population of 60 millions Tanzanians and for so many years to come.
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.Kumbe umesikia (umbea)? Tatizo aliyekusikilizisha naye alisikilizishwa, sasa acha kusikilizishwa nenda kajionee mwenyewe.

Biashara kiujumla zimeshuka sana.Actually hata kiwango cha ujenzi wa mtu mmoja mmoja kwenye jamii kimeshuka sana!
Kuthibitisha hilo kafanye simple survey kwa wauza vifaa vya ujenzi utapata takwimu watakwambia jinsi mauzo yao yakivyoshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma!
Mbowe hayuko siyo mbunge, wabunge waliokuwa wanachelewesha maendeleo hawapo bungeni....Hata Mbowe ameshindwa kuwa Waziri mkuu kama alivyotuahidi wakati wa kampeni!
Merry Christmas!
Hahahahaha duniaaaaaaaNasikia " si kila kitu huwa kinaenda bila changamoto hiyo ni kanuni ya dunia hebu siku nyingine punguza unafki kidogo".
Unavoongea una uhakika utasema we ni nabii au mtume,, kumbe unaandika tu kwa ajili ya kupata likes nyingi dadeki
Endelea kisikiaStand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua
Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Ni WHITE ELEPHANTEleza miradi hiyo imekwama vp na wewe miradi yako uliyofanya imefanikiwa vp siyo kila kitu useme kimekwama.
Huo ni ujinga kuchafuana wewe tulia miaka 5 haijaisha unawashwa mbona nyie mmeshindwa uchaguzi?
Mwizi namba moja anajulikana 1.5 trillion na akamfukuza progress assad.nadhani unamfahamuManeno kama ya Tobo! Yasiyo na maana ila kutaka kuonyesha kuwa hii serikali haina chochote, hasa hasa baada ya wezi wa mali za umma na mafisadi kubanwa mbavu; kilichobaki ni matusi na maneno ya nyodo tu humu JF!