Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Uchumi wa jiwe, uchumi dorooo wamebaki kupora billions kwenye bank accounts za Watanzania na makampuni Nchini baada ya kuwabambikia kesi fake. Mtu maisha yake yote ni FAILURE na MBABAISHAJI tu pia anajiita mwendawazimu bado 2015 wakafanya makosa makubwa sana ya kumkabidhi Nchi. 2020 wakakaa kimya na kumuacha aibe na hata kuua ili kupora uchaguzi Nchi nzima. Huu ni mwanzo tu gharika la kutisha kiuchumi LINANYEMELEA taratibu.
Jiwe Is a product of a failed systems from constitution to electrol commission do not expect much from him
 
Agreed but the sufferings from his mediocre performance is for the whole population of 60 millions Tanzanians and for so many years to come.
Jiwe Is a product of a failed systems from constitution to electrol commission do not expect much from him
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimuzi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Nimepita site ya reli juzi Kati pale Moro miezi sita Sasa wameshindwa weka lami
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa
Sehemu kubwa serikali ilikubali kuendeshwa kwa propaganda, yaani unatengeneza uongo kisha unauamini. Kwa sasa ukweli unazidi kukaa wazi. Maamuzi ya mtu mmoja yanayogharimu wote. Approach inayotumika na serikali hii, ndio iliyotumika na Nyerere kisha tukakwama, kwa bahati mbaya tumerudia kosa lilelile.
 
Kumbe umesikia (umbea)? Tatizo aliyekusikilizisha naye alisikilizishwa, sasa acha kusikilizishwa nenda kajionee mwenyewe.
Mnaponifanya nizidi kuhuzunika ni pale mawaziri na makatibu wakuu wanaposimama na kusema kila kitu kiko sawa ilahali wanajua nchi iko hoi. Mfano. Wizara ya Afya wanasema hosipitalini madawa yapo na kila kitu kiko sawa ila ukienda hata chanjo za watoto siku hizi hakuna, dawa za mifupa za watoto hakuna, vidonge vya damu kwa wajawazito navyo hakuna. Ajabu kila siku mnasema madawa yapo na bajeti ziko juu. Matatizo makubwa ya hii nchi ni Unafiki, Njaa na Nyege.
 
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania

Uwezo wa kutekeleza miradi miwili kwa wakati mmoja inayozidi 15t+ nilijua fika tutakwama, na hili nililisema toka mwanzo. Kumbuka mbali ya hiyo miradi bado kulikuwa na miradi mingine inaendelea ambayo haijakamilika. Na wakati huohuo approach mbovu iliyotumika dhidi ya wafanyabiashara, na wafadhili ilikuwa ni dhahiri tutakwama. Mwanzo kwenye miradi hiyo sifa zote zilikuwa ni za rais, ila sasa tunavyoenda kukwama inakuwa ni tatizo letu wote!

Ni mtu aliyeamini propaganda tu ndio angeweza kuamini kuwa tunaweza kutekeleza miradi miwili ya 15t kwa fedha za ndani ndani ya miaka 10. Kwa sasa ndio tunaenda kujikabidhi kwa wachina ili kuficha aibu ya mipango mibovu, na kusaka sifa za bei rahisi. Na kwa vyovyote wachina watatutenda. Ngoja tunywe tu mtori, nyama ziko chini.
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Kwani hujui kuwa hata upatikanaji wa fedha kutoka mapato ya ndani na fedha za wafadhali zinasusua?.
 
Kwa hiyo unasikia raha au huzuni?
Na huo utafiti ulikuwa unaufanya ili kama imekwama usaidie kipi ili iongeze kasi?
Au ilifanya ili ushangili kwa kukwama?

Hii hali ya maendeleo yenye propaganda ndani yake, yalitengeneza uhalali wa wapinzani kufanyiwa unyama, ukatili na uhayawani wa wazi. Hivyo usitegemee kundi lilifanyiwa udhalimu likose raha kama miradi iliyokuwa kificho cha kuwatetea na kuwadhalilisha itakwama. Ni bora ikamwe ili iwe funzo kuwa miradi ya maendeleo sio kichaka cha kiongozi kutumia madaraka yake vibaya kunyanyasa wanaotofutiana naye mitazamo. Iwapo miradi hiyo itakwama itasababisha kupata katiba mpya ambayo madaraka ya rais itabidi yapunguzwe, kwani imedhihirika yanatumika vibaya. Imeisha hiyo.
 
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania
Kila mtu anapenda miradi ya maendeleo yenye tija na inayozingatia vipaumbele vya Taifa sio vya mtu!.
 
Huwezi kamilisha miradi Kama huna pesa.
Tunajenga kwa fedha zetu za ndani
 
Mnaponifanya nizidi kuhuzunika ni pale mawaziri na makatibu wakuu wanaposimama na kusema kila kitu kiko sawa ilahali wanajua nchi iko hoi. Mfano. Wizara ya Afya wanasema hosipitalini madawa yapo na kila kitu kiko sawa ila ukienda hata chanjo za watoto siku hizi hakuna, dawa za mifupa za watoto hakuna, vidonge vya damu kwa wajawazito navyo hakuna. Ajabu kila siku mnasema madawa yapo na bajeti ziko juu. Matatizo makubwa ya hii nchi ni Unafiki, Njaa na Nyege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hayo matatizo mawili ya njaa na unafiki nayajua, unaweza kinifafanulia hilo tatizo la mwisho la "nyege"
 
Hii hali ya maendeleo yenye propaganda ndani yake, yalitengeneza uhalali wa wapinzani kufanyiwa unyama, ukatili na uhayawani wa wazi. Hivyo usitegemee kundi lilifanyiwa udhalimu likose raha kama miradi iliyokuwa kificho cha kuwatetea na kuwadhalilisha itakwama. Ni bora ikamwe ili iwe funzo kuwa miradi ya maendeleo sio kichaka cha kiongozi kutumia madaraka yake vibaya kunyanyasa wanaotofutiana naye mitazamo. Iwapo miradi hiyo itakwama itasababisha kupata katiba mpya ambayo madaraka ya rais itabidi yapunguzwe, kwani imedhihirika yanatumika vibaya. Imeisha hiyo.
Wenye akiri na macho wanona ila vipofu mtabaki mnalalamika mpaka dunia itakapo isha.
 
Miradi mingi ilikuwa ni ya kukurupuka isiyoendana na Hali halisi.Ilianzishwa kwa lengo la kuwakoga waliotangulia na sio kuangalia uhalisia wa mapato.
.Ndege nyingi kuliko wapandaji.
.SGR bado kitendawili, anaombwa mchina aokoe jahazi.
. Kiwango cha kukopesheka kinaelekea ukingoni.
.Riba za mikopo zinaongezeka Hali miradi inasusua kukamilika Ili irudishe pesa.

Ujuaji mwingi maanguko mbele.
 
Kuna maeneo kadhaa anajuwa alikurupuka na ameharibu kama ifuatavyo:
1. Kuhamia Dodoma
2. STIGLERS GORGE
3. SGR kuanza kwenda Rwanda badala ya Uganda
4. Kiwanja cha ndege Chato
5. Kivuko cha Busisi Lake Victoria
6. Kununua ma-Dreamliner bila mpangilio

Haya ma miradi hata akija msaidizi wake wa Karibu kama Kassim Majaliwa au Palamagamba Kabudi atapindua ndani ya siku100 za kwanza. Siyo lazima CDM kwa kuwa haihitaji kuwa na PhD kujua kwamba yalifanywa kwa ajili ya sifa na hayana upembuzi yakinifu

Kabudi ni dikteta Mungu aepushe mbali kabisa udikteta again
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa
Sio agizo la rais limepuuzwa.
"Maigizo" mengi yanapuuzika yenyewe kwa kuwa ni "maigizo".
 
Back
Top Bottom