Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hayo matatizo mawili ya njaa na unafiki nayajua, unaweza kinifafanulia hilo tatizo la mwisho la "nyege"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
kabla hujafikiria upigaji kwenye miradi (utafikiria baadae) waza haya maswali kwanza;

1. kwa nini waliamua (aliamua hii ni sahihi zaidi) kufanya miradi mikubwa kwa mara moja??
2. Hela alizotegemea wakati wa kutekeleza hii miradi zilikua za kutosha kumaliza miradi yote??
3. Vipaumbele vyetu ni vipi kwenye hio miradi?? nikiwa na maana kua miradi ipi ilitakiwa ianze kulingana na umuhimu wake na kulinga na fedha zilizokuepo??
4. Tunafanya kwa ajili ya sifa kuvimbishana vichwa au kulingana na uwezo na vipaumbele vyetu kama nchi?
 
Stand ya mabasi mbezi Luis tuliambiwa imekamilika Asilimia 90 mwezi WA 11 . Serikali ikatangaza Tarehe 31 itaanza tumika ,na majaribio wakafanya, lakini tukaambiwa Tarehe 20/12 itaanza kazi.. Lakini wapita njia huko Wanasema hata barabara za kuingilia Bado.. Bora serikali ikae kimya.. Agizo LA Raisi kwa kweli limepuuzwa
Kama barabara za kuingilia bado, haayo majaribio yaliyofanyika walitumia barabara za angani😂😂
 
Huwezi ukainua uchumi kwa kukopa na kuwekeza kwenye macro economic ambazo zote tayari Zina mbadala wake.
Why SGR na sio kuboresha reli ya zamani, mabwawa ya zamani kwa kuondoa tope kwenye mabwawa na kufunga mota mpya za kisasa zitumiazo maji kidogo umeme mwingi.
Hizo pesa za kwenye miradi isiyo na chance ya kukamilika Kama zingewekezwa kwenye kilimo ndani ya miaka 3 zingesharudi Mara tatu huku zingetoa ajira milioni 12 na kumaliza kabisa tatizo la ajira kwa vijana,huku pesa nyingi Sana za kigeni tungepata, makusanyo ya Kodi yangekuwa makubwa Sana then ndo tufanye miradi hio.
Check Malaysia waling'oa mpira wakapanda michikichi tu mbegu walichukua afrika na leo ni exporter tegeo wakubwa duniani wa mafuta ya kula na wanapata pesa nyingi Sana zilizokuza uchumi wao.
Sisi mapori yamejaa kufugia nyoka tu Hali wananchi dhoofu Hali. Ni sahihi kwetu kununua ndege inayoajiri watu 30 badala ya pesa hio ya ndege kuwekeza kwenye kilimo ikaajiri watu milioni 5 kwa thamani ya dreamliner moja tu ni sawa na ajira milioni 5 tena endelevu kwa kiongozi mchumi.
Jiwe na Uchumi wapi na wapi na alivyomjuaji sasa kaumbuka,Mchina tu ndio kabakia kuokoa Jahazi,Xi Ping hakupiga simu kujifurajisha alishapata intelijensia kwa hiyo huo ni upenyo wa lobbying ambao utamfaidisha mara dufu..mda utaongea
 
Actually hata kiwango cha ujenzi wa mtu mmoja mmoja kwenye jamii kimeshuka sana!

Kuthibitisha hilo kafanye simple survey kwa wauza vifaa vya ujenzi utapata takwimu watakwambia jinsi mauzo yao yakivyoshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma!
Wako hoi watu wa maduka ya ujenzi.Sehemu niliko vijana walikuwa wanategemea kufyatua matofari wauze Hadi naandika sms hii bei ya tofari za kuchoma imeshuka na mitanuri ipo hakuna wateja ,,watu wanaojenga ni wa kutafutiza
 
Binafsi ningependa Miradi ingekamilika yote, hii ni Kwa Heshima ya nchi yetu na siyo heshima ya Raisi kama wengi wanavyodhani

Kwani mimi, wewe, na yeye tutaondoka lakini Tanzania itaendelea kuwepo,

Kwa hatua za awali zimeonyesha kwamba nchi yetu inauwezo wa kufanya makubwa Sana hata kama huko mbele tutakwama, lakini zipo sababu za kimabadriko ya tabia ya nchi ambazo zimejitokeza ambazo zimeshusha Uchumi Kwa Kasi ya ajabu na sio Tanzania pekee Bali ni kote Duniani

Hapa sio Raisi ndiye mwenye makosa, Bali ni Kwa Yale yaliyo nje ya uelewa wa kibinadamu

Mungu Ibariki Tanzania
Yaani ukate tawi la mti ukiwa upande wa majani na ukianguka vibaya usingizie "sababu zilizo nje ya "uelewa?"
 
We angalia hata viongozi wanafanya maamuzi ya kijinga kwasababu ya kuwaridhisha mademu zao. Angalia viti maalum, angalia viongozi wa upinzania na chama tawala. Wamefanya mambo ya kijinga sana na kugawa vyeo kwa wanawake ambao hata uwezo hawana. Yote hiyo ni nyege tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni

Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua

Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha

Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali

Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio mjue kwamba mambo hayaendi ipasavyo? Kuna nini mbona utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa mwezi Julai unasuasua?
Nadhani usingoje wala usitegemee habari za kusikia! Kwani wewe huoni kinachofanyika? Kama kuna mahala kuna kasoro basi waeleze wahusika warekebishe vinginevyo toa suluhisho kama unaona au unadhani kuna kauzembe mahali fulani.
 
Mkuu

Ndio uzuri wa hela....hela haidanganyi

Unaruka ruka na blah blah nyiiingiii..mwisho wa siku ni balance kwenye account inakuumbua..unakuta kitu sifurii mamaeeee

Atampa Abbas atulishe propaganda sana,ila siku anaamka asubuhi hana hela ya kutoa mshahara kwa wafanyakazi wake mwenyewe ndio ataelewa hesabu hua hazidanganyi!

Heri hata JK alikua anaenda Ulaya kila siku kuomba hela zinakuja na kujaa mifuko mwa wananchi,huyu kanyea kooooote!

China yenyewe haitoi hela bila kukupiga mbupu hasa...jamaa ana mlima mkubwa sana wa kupanda!

Sijui alidhani hela unachapisha tu kwenye mashine...now wonder alikuaga anadhani hivyo ujue!
Maneno kama ya Tobo! Yasiyo na maana ila kutaka kuonyesha kuwa hii serikali haina chochote, hasa hasa baada ya wezi wa mali za umma na mafisadi kubanwa mbavu; kilichobaki ni matusi na maneno ya nyodo tu humu JF!
 
Tilioni moja ya kwenye ndege ingefuta kabisa tatizo la ajira nchini tungepata kiongozi mchumi zingetosha toa ajira milioni 12 tena endelevu kwa vijana
Unaonekana wewe ni Mchumi Msomi, hebu TUDADAVULIE HILI tuone namna ya kupata hizo ajira 12 milioni kutokana na hiyo 1 TRILILION. Kwani likiwa wazo jema na linalotekelezeka yaani VIABLE, basi linaweza kuigwa na kulifaidia Taifa letu. Nasubiri!
 
Nani mwizi?

Wezi ni political class yenu nyie nyie CCM

Hakuna mwananchi wa kawaida mfanyabiashara normal tu alieibia serikali chochote

The most powerful who can steal anything from the govt ni CCM politicians hao hao,ambao mpaka sasa tunapoongea hakuna hata mmoja aliefungwa popote,never!

Mafisadi ni wanasiasa na sio wananchi,hakuna mwanasiasa yeyote wa CCM aliefungwa popote na serikali hii ya mtakatifu yohana!

Serikali haina chochote,haina hela,zimeisha zote,hakuna biashara yenye kutoa mapato yeyote ili wao wapate kodi,wamevuna hadi vitoto vya samaki...

Kwahiyo mapato endelevu kutokana na kodi ndio yashakufa kaputi,hiyo source tayari ni deplated maana biashara mapato yamepungua robo tatu,na nyingi zimefungwa

Ni ajabu na haingiii akilini kabisa unakuja kudanganya hapa eti mwenye kaduka kariakoo au Mwenge alishawahi kua "fisadi" wa hela za umma,neverrrr!

na maduka yao kufa ni effect ya kuharibu uchumi kwa sera za hovyo alizoingia nazo na unfair over taxing,thats a FACT!

Sio maneno ya nyogo,tunatoa FACTS na unfortunately zinawauma sana maana all of these ni true na mnajua na kibaya zaidi hamna majibu ya huu uharibifu mliofanya!

JK alikua anatoa hela nje analeta ndani,nyie mnatoa ndani mnapeleka nje kupitia Yapi Merkez and the likes,ni lazima uhaba wa fedha uwepo nchini,simple mathematics...na hili mlivyo mavi mnataka kusingizia CDM na wananchi

Mambo yakienda vizuri kidogo sifa zote ni Mtukufu Yohana na group lake la CCM,mambo yakienda vibaya ni kosa la Wananchi wenyewe na Chadema!
Hakuna haja ya kutaja majina humu JF kwani kila mwenye akili timamu anajua orodha ya wezi na mafisadi iliyoko huko kwa Pilato Kisutu na Mahakama nyinginenchini ikiwa ni pamoja na ile ya Wahujumu Uchumi. Orodha ipo na kama yumo mwana CCM basi naye atakwenda na maji! Awamu hii siyo ya kubebana!

Maelezo na maneno mengine ni HEARSAY tu ambazo hazina msingi na ushahidi wowote, kiasi ambacho naweza kusema ni rhetorics za kawaida kama alizokuwa akisema Tobbo!
 
Hakuna haja ya kutaja majina humu JF kwani kila mwenye akili timamu anajua orodha ya wezi na mafisadi iliyoko huko kwa Pilato Kisutu na Mahakama nyinginenchini ikiwa ni pamoja na ile ya Wahujumu Uchumi. Orodha ipo na kama yumo mwana CCM basi naye atakwenda na maji! Awamu hii siyo ya kubebana!

Maelezo na maneno mengine ni HEARSAY tu ambazo hazina msingi na ushahidi wowote, kiasi ambacho naweza kusema ni rhetorics za kawaida kama alizokuwa akisema Tobbo!

Mafisadi wangekuwa ni wapinzani ile mahakama Ingekuwa Veri Veri active
 
Back
Top Bottom