mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Ngoja leo nikupe elimu ya bure, kuwa wewe kama mwananchi wa kawaida mwenye uchungu na nchi yako (siyo ushabiki), unayo haki kwenda kwa Pilato na kufungua kesi dhidi ya mtu yeyote ILI MRADI UWE NA USHAHID! Tumia nafasi hiyo badala ya kuwa na chuki moyoni tu. Moyo haukuumbwa kubeba chuki bali damu, vinginevvyo ndiyo mwanzo wa magonjwa YASIYOAMBUKIZWA!ungekaa kimya tu, miaka mitano bado kesi ziko mahakamani, na hao wanaccm watashitakiwa miaka 50 ijayo? Pesa za escrow zilitolewa kwenye sandarusi, mbona gavana wa BoT hajakamatwa, wala viongozi wa ccm waliosaini kuchukuliwa hatua yoyote? Huko Magereza wako ambao rais anawachukia.
Haya ni maneno yale yale ambayo tumeyasikia sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu kutoka kwa TOBO, na wewe unayaleta tena LEO. POLE SANA!Mwizi namba moja anajulikana 1.5 trillion na akamfukuza progress assad.nadhani unamfahamu
Wamebaki kunyanyasa wafanyabiasharabajeti mali-kauli hawana hata mia.
Hivi haya maboya huku JF yalifikaje humu!Hata Mbowe ameshindwa kuwa Waziri mkuu kama alivyotuahidi wakati wa kampeni!
Merry Christmas!