Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Kwani wao ni wauzaji mpaka wajue bei za bidhaa?Habari zenu...
Kuna hili suala nataka tujadili.
Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi⁉️🤗
wapo sahihi ni haki ya mtejaHabari zenu...
Kuna hili suala nataka tujadili.
Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi⁉️🤗
Mdanganye mwenzako Sasa ajichanganye kama atapata watejaHii ndo akili ya wafanyabiashara wengi wa Kitanzania; hataki kuulizwa bei, kiburi kwa wateja, lugha mbaya na ya mkato, kuangalia mtu anayeingia dukani ndo waamue kumjibu bei au la, akianza kupata vipesa kidogo atauliza kama ni sahihi kumjibu mteja bei za bidhaa zake. So arrogant and naive.
Usiwajibu bei mkuu ni usumbufu; endelea kuchati na simu wateja wakija ofsini kwako.
Mdanganye mwenzako Sasa ajichanganye kama atapata wateja
Bei hubadilika. Vituo vya mafuta wana mabango yanayoonyesha bei, na vile vile kuna controllers wa bei.Habari zenu,
Kuna hili suala nataka tujadili. Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi?
Hujamuelewa mtoa post. HIYO SENTENSI YA MWISHO NI KUMUONYESHA TU KAMA AKIFANYA HAYO HATAPATA MTU WA KUNUNUA BIDHAA ZAKE. Ni lugha ya pichaMdanganye mwenzako Sasa ajichanganye kama atapata wateja
Nishakuelewa mkuuSoma na uelewe kabla ya kukurupuka ku quote mtu.
Nikwel kabisa mkuu umenisahihisha sana hapaNi sahihi sababu Bei ubadilika badilika,pili wengi ununua kwa kulinganisha Bei na maduka mengine
Mteja anauliza bei hata kwenye bidhaa yenye price tag, na unatakiwa umjibu. Hata kama mtoto, sasa leta dharau utafurahiHabari zenu,
Kuna hili suala nataka tujadili. Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi?
Kuna mtu anakuja anaulizia bei na hanunui ukwel ulivyosema kuwa huyo ambaye hanunui ndo WA kuwa nae kalibu sababu ya kutengeneza mnyororo mwingne WA watej,, wafanya biashala weng wamekalili wateja wao ila kutengeneza namna nyingne ya kupata watej Kwa wingi wanashindwaKuuliza Bei sio kununua tena mtu ambae ajanunua yafaa umpokee vizur sana ili kesho aje.
Watu ni wa aina mbili mmoja wa Leo mwingine ni wa kesho
Kama ulimjibu mwanz ndo umemkosa hvyo Tena,, ko kama jamaa alivyosema hapo Kuna wateja WA Leo na Kuna wateja WA kesho,Thus anaweza akaulizia Bei akaaga atazunguka wee akikuta huko kubwa akirudi Mara ya pili kaja na Hela Sasa kama ulimjibu vibaya na Hela yake utaikosa.