Na Form IV akizungusha tumjadili, nini sababu?Leo [emoji23][emoji23] ngoja nicheke... Mtoto wa form two anapata Division 4 ya point 31....
Maendeleo hayana Chama [emoji23][emoji23]
Usiku mwema
Tatizo sio takwimu Boss hapa tatizo ni Mazingira bora ndani ya mfumo serikalini kwa waliofaulu na waliofeli hayako sawa?au mazingira kwa wazazi ni magumu ama wameiachia serikali kubeba majukumu yote na wazazi kujiona hawana jukumu lolote....kingine vijana wanapaswa kujua wao ndio wajenzi wa Taifa na wabeba maono pia wa taifa na jamii kwa ujumla...[emoji310] Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)
[emoji310] Division IV - 51.46%
[emoji310] Division 0 - 12.7%
Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.
Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Ni kweli mazingira ya elimu ndio changamoto kubwa sana. Shule za Serikali nyingi kuna uhaba wa walimu au hata kama wapo competence sio kubwa kiasi kufanya mwanafunzi kuelewa.Tatizo sio takwimu Boss hapa tatizo ni Mazingira bora ndani ya mfumo serikalini kwa waliofaulu na waliofeli hayako sawa?au mazingira kwa wazazi ni magumu ama wameiachia serikali kubeba majukumu yote na wazazi kujiona hawana jukumu lolote....kingine vijana wanapaswa kujua wao ndio wajenzi wa Taifa na wabeba maono pia wa taifa na jamii kwa ujumla...
Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
AnachaguliwaVp mweny division 3 ya 22 anawez kuchaguliwa?(wakiume)
Ok! Sawa mkuuAnachaguliwa
hata hivo, mafelia ndo wanapewa ajira, acha wafeli tuu, juzi hapa maaskari mafelia wenye IV-31 zaidi ya elfu tatu wameajiriwa na kuachwa wasomi kibao mitaani.
mammmamae nchi hii tunaviongozi wenye mavi kichwani badala ya matakoni. Heri Corona irudi iwaondoshe wote mammmmae zao.
Yaan tangu jpm aingie madarakan mpaka Sasa sioni tofaut ya aliefaulu na aliefel tena waliofaulu wakianza kuzunguka mara form five sijui mpaka chuo, wakijakirud kutembeza bahasha wanakuta hawa div 4 na zero wanamaisha yao tu mazuri, Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kufaulu mtihan na kufaulu maishaπ Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)
π Division IV - 51.46%
π Division 0 - 12.7%
Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.
Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Kabisa maisha hayana formula. Ingawa pia shule zinawafanya vijana wafeli na si kwa sababu ni wajinga ni kwa sababu hawafundishwi vizuri.Yaan tangu jpm aingie madarakan mpaka Sasa sioni tofaut ya aliefaulu na aliefel tena waliofaulu wakianza kuzunguka mara form five sijui mpaka chuo, wakijakirud kutembeza bahasha wanakuta hawa div 4 na zero wanamaisha yao tu mazuri, Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kufaulu mtihan na kufaulu maisha
π Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)
π Division IV - 51.46%
π Division 0 - 12.7%
Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.
Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Ni kweli maisha hayana formula lakini lazima shule za governments zijitahidi kufanya vyema kwa kuboresha maslahi ya walimu na ufundishwaji wa vijana.Wakuu msitishwe na hayo matokeo, msitishwe na division 1, msitishwe na kufeli na wala msitishwe na kufaulu.
skuizi elimu ya Tz imekosa soko na imepotea kwenye ramani. Waliosoma na wasiosoma wote wapo mtaani.
Chakushangaza waliosoma wamezunguka five mpaka chuo na kukuta failure wana mitaji, wake na watoto, bila wao kuwa na chochote kile kati ya hivyo.
Naisikitikia Elimu ya Tz na nawalaumu hawa majambazi viongozi wanaodanganya watoto wakasome na kuwanyima ajira. Mungu ndo atajua la kuwafanya na la kufanya.