Tujadili Matokeo ya Kidato cha Nne

Tujadili Matokeo ya Kidato cha Nne

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
๐ŸŽ“ Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)

๐ŸŽ“ Division IV - 51.46%

๐ŸŽ“ Division 0 - 12.7%

Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.

Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
 
Huyo akachunge tu ndama na kulea wadogo zake kama wapo nonsense and stupidity..... form two unafel kwel zama hizi?......kilaza mkubwa atawaambia nini huyo...alisikika mzee mmoja na tayari hayupo tena duniani.....
 
Leo [emoji23][emoji23] ngoja nicheke... Mtoto wa form two anapata Division 4 ya point 31....

Maendeleo hayana Chama [emoji23][emoji23]

Usiku mwema
Na Form IV akizungusha tumjadili, nini sababu?
Mtoa mada, structure ya ufaulu ipo hivyo miaka yote.
After all, maisha ni zaidi ya hizo divisions.
 
[emoji310] Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)

[emoji310] Division IV - 51.46%

[emoji310] Division 0 - 12.7%

Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.

Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Tatizo sio takwimu Boss hapa tatizo ni Mazingira bora ndani ya mfumo serikalini kwa waliofaulu na waliofeli hayako sawa?au mazingira kwa wazazi ni magumu ama wameiachia serikali kubeba majukumu yote na wazazi kujiona hawana jukumu lolote....kingine vijana wanapaswa kujua wao ndio wajenzi wa Taifa na wabeba maono pia wa taifa na jamii kwa ujumla...

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mazingira ya elimu ndio changamoto kubwa sana. Shule za Serikali nyingi kuna uhaba wa walimu au hata kama wapo competence sio kubwa kiasi kufanya mwanafunzi kuelewa.

Kuna wakati inafikia mwanafunzi anaingia chumba cha mtihani hajamaliza topics zote na hata alizomaliza nyingi amejisomea mwenyewe.

Kwa shule za mjini at least kuna tuition ila kijijini ndio changamoto. Ndoto za vijana wengi sana zinapotea kutokana na mazingira ya elimu. Kuna wengine ni shule zimewafelisha.

Hali isipoboreshwa shule za private zitadominate sana ufaulu. Trust me hakuna mwalimu mzuri atakayekubali kufanya kazi shule za Serikali hali ya kua na yeye anataka maisha bora ya kwake binafsi na familia yake.
 
Nyongeza ya mishahara Jiwe alifyekelea mbali matunda yake tutayaona.
 
Vp mweny division 3 ya 22 anawez kuchaguliwa?(wakiume)
Hapo ndio changamoto inapoanza laiti wangejua hizo changamoto dogo alizopitia na msuli yatima ili kupata hiyo 3 ya 22.
 
hata hivo, mafelia ndo wanapewa ajira, acha wafeli tuu, juzi hapa maaskari mafelia wenye IV-31 zaidi ya elfu tatu wameajiriwa na kuachwa wasomi kibao mitaani.

mammmamae nchi hii tunaviongozi wenye mavi kichwani badala ya matakoni. Heri Corona irudi iwaondoshe wote mammmmae zao.
 
Hapo kwenye uaskari nyamaza hujui usemalo.

Walaumu viongozi kwa kufanya upendeleo kwenye nafasi zingine za ajira sio hizi za uaskari.

Mwanao bora aajiriwe hata ualimu kuliko askari, sitasema sababu ila nielewe tu
 
๐ŸŽ“ Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)

๐ŸŽ“ Division IV - 51.46%

๐ŸŽ“ Division 0 - 12.7%

Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.

Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
Yaan tangu jpm aingie madarakan mpaka Sasa sioni tofaut ya aliefaulu na aliefel tena waliofaulu wakianza kuzunguka mara form five sijui mpaka chuo, wakijakirud kutembeza bahasha wanakuta hawa div 4 na zero wanamaisha yao tu mazuri, Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kufaulu mtihan na kufaulu maisha
 
Kabisa maisha hayana formula. Ingawa pia shule zinawafanya vijana wafeli na si kwa sababu ni wajinga ni kwa sababu hawafundishwi vizuri.

Imagine dogo aliyekua na ndoto ya udktari anaweza kupata alama zisizomruhusu kuendelea na ndoto yake ila ukiangalia sababu ni mazingira aliyosomea ndio imeleta majanga yote.
 
Mathematics ni asilimia kumi na ngapi vile? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu msitishwe na hayo matokeo, msitishwe na division 1, msitishwe na kufeli na wala msitishwe na kufaulu.

skuizi elimu ya Tz imekosa soko na imepotea kwenye ramani. Waliosoma na wasiosoma wote wapo mtaani.

Chakushangaza waliosoma wamezunguka five mpaka chuo na kukuta failure wana mitaji, wake na watoto, bila wao kuwa na chochote kile kati ya hivyo.

Naisikitikia Elimu ya Tz na nawalaumu hawa majambazi viongozi wanaodanganya watoto wakasome na kuwanyima ajira. Mungu ndo atajua la kuwafanya na la kufanya.
๐ŸŽ“ Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)

๐ŸŽ“ Division IV - 51.46%

๐ŸŽ“ Division 0 - 12.7%

Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka.

Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa kuwaendeleza au Mungu awe amewabariki vipaji ambavyo huwezi kukikataa au Mungu atende miujiza tu. Na kibaya zaidi kwao kaka zao ni mwaka wa 6 huu ni jobless mtaani.
 
Wakuu msitishwe na hayo matokeo, msitishwe na division 1, msitishwe na kufeli na wala msitishwe na kufaulu.

skuizi elimu ya Tz imekosa soko na imepotea kwenye ramani. Waliosoma na wasiosoma wote wapo mtaani.

Chakushangaza waliosoma wamezunguka five mpaka chuo na kukuta failure wana mitaji, wake na watoto, bila wao kuwa na chochote kile kati ya hivyo.

Naisikitikia Elimu ya Tz na nawalaumu hawa majambazi viongozi wanaodanganya watoto wakasome na kuwanyima ajira. Mungu ndo atajua la kuwafanya na la kufanya.
Ni kweli maisha hayana formula lakini lazima shule za governments zijitahidi kufanya vyema kwa kuboresha maslahi ya walimu na ufundishwaji wa vijana.

Kama ni mtoto wa masikini upo na ndoto za kua Engineer au Daktari, shule za serikali zinachangia kuua ndoto yako na sio kua huna uwezo wa kufaulu.
 
Back
Top Bottom