Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

Ww jiulize tu toka 2005 serikali yetu bdo inaangaika na ujenzi wa madarasa

Tulianza kwa kujenga wenyew japo tunatoa kodi mpaka sasa tunajenga kwa ela za covid bdo atujaanza kuwekeza kwenye vyuo vya ualimu wala kwenye kuajili
 
Mkuu,Mfumo wetu wa elimu uwe hivi

Pre Primary 3 years(Hapa mkazo uwe kwenye Development ya Motor Skills,Personality,Behaviour,Communications etc)

Primary 4 years(Hapa Iwe ni development ya Writing,Arithmetics,Verbal(Language Skills)

Post Primary 2 years(Hapa iwe ni Mkazo ni kwenye Vocational Skills,Physical Education(Sports,Arts,Culture)

Secondary 2 years(Hapa Iwe ni Academic Skill kulingana na Fani au uwezo wa Mtoto,Arts studies,STEM,Business,)

Pre College 2 years(Hapa Mkazi uwe kwenye Pre SPecialist Courses
College 3 Years(Hapa iwe ni Full Specialization.)


KAtika Stages zote tunaweza amua maeneo ya kuwekea mkazo
 
Introduce STEAM curriculum

Science
Technology
Engineering
Arts
Mathematics, from early education to tertiary level.

Tofauti na hapo tutaendelea kuwaita wachina watujengee barabaran, tutaendelea kununua software India na Rwanda huku tuna graduates Kila mwaka.

Inahitaj competence ya kueleweka kuweza kufitt global standards na hiyo competence tutaijenga tukitumia mda mrefu kunurture skill na talent za wanetu from early level.

Refer 1000 hour rule to be the best in anything
 
Je walimu wanaouwezo wa kufundisha masomo kwa kiingereza? Waanze kwanza huko kwenye vyuo vya ualimu
kwani waalimu wanaofundisha english medium watoka vyuo gan?

Ni vyuo hvyo hvyo wanasoma waalim wa shule za serikal
 
kwani waalimu wanaofundisha english medium watoka vyuo gan? ni vyuo hvyo hvyo wanasoma waalim wa shule za serikal
Walimu wengi wa shule za serikali hawajui kiingereza sijui wanawatoaga wapi
 
Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania.

Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye mamlaka ya Serikali.

Tujadili ni aina gani ya masomo tunayohitaji yafundishwe kwa watoto wetu, Watoto wetu wasome kwa miaka mingapi?

Tujadili mtoto amalizapo kila ngazi ya elimu awe na ujuzi na uwezo wa kufanya jambo gani?

Tujadili aina za shule tunazozihitaji kwa watoto wetu na aina ya walimu tunaowahitaji kwa ajili ya watoto wetu.

Mfumo wetu wa elimu umeundwa kwa mtoto kuanza chekechea akiwa na miaka mitatu mpaka mitano, Anaanza elimu ya msingi akiwa na miaka sita mpaka nane, Anaishi na elimu ya msingi kwa miaka saba, Baadae elimu ya upili ya Sekondari anaishi kwa miaka minne, Anajiunga na elimu ya juu ya Sekondari kwa mwaka moja na nusu mpaka miaka miwili, Baadae chuo Kikuu kwa shahada ya awali miaka mitatu mpaka mitano.

Kimahesabu mtoto anayesoma kufikia shahada ya awali ukiondoa udaktari na uinjinia anatumia miaka kumi na sita shule, 7+4+2+3=16

Je, ni sahihi mtoto kukaa miaka kumi na sita shule anaondoka bila ujuzi wowote ule.

Mtoto unampokea nyumbani tangu alipoanza kuwa bize akiwa na umri wa miaka minne, Anarudi mikononi mwako tena baada ya miaka kumi na sita bila ujuzi wowote.

Tunahitaji maoni yenu na ushauri hapa Jamiiforum, Uzoefu wa kila mmoja wetu unahitajika ili tutengeneze mfumo imara wa elimu kwa vizazi vijavyo.

Nina hakika huu uzi utatoa dira na maono kwa miaka mingi ijayo hapa JamiiForums.
Mfumo haujadiliki isipokuwa vitu vinavouunda
 
1. Elimu itolewe kwa kiswahili toka shule ya msingi hadi chuo kikuu. Kiingereza kifundishwe kama lugha.


2. Masomo ya uraia na Historia yaondolewe. Yaingizwe kwenye masomo ya kiswahili na kiingereza. Inawezekana kabisa kusoma historia na uraia huku unajifunza lugha.


3. Tupunguze likizo. Tz ni moja ya nchi ambayo mwanafunzi anatumia siku chache shuleni kwa mwaka duniani. Likizo kwa mwaka Isizidi jumla ya siku thelathini. Hapo ukijumlisha na sikukuu.

4. Baada ya kuongeza siku za kusoma tupunguze miaka ya kusoma. Shule ya msingi iwe miaka sita, saba na chekechea. Na sekondari iwe miaka mitatu.

5. Wanafunzi wafundishwe somo la biashara toka shule ya msingi hadi chuo kikuu. Duniani kote biashara ndiyo sekta kubwa na yenye pesa nyingi na inayogusa kila sekta , wanafunzi wanatakiwa kujua biashara.

6. Masomo ya sayansi na hisabati yatiliwe mkazo wa pekee.

7. Umri wa kuanza darasa la kwanza uwe miaka mitano.
 
kunzia chekechea hadi university watumia english tu.

Magazeti yote yaachapwe kwa english.
 
To cut the short tusitafute hata mshauri wa nje

Uitishwe mkutano tu na wapemba,waarabu na wahindi waeleze nini siri yao ya kutohangaika na ajira za Serikali na kuendelea kuwa matajiri vizazi na vizazi

Wakishatueleza ndio tutengeneze mtaala mfano waweza kuwa na masomo kama how to run family business nk iwe ndogo ya kuuza vitumbua ,kilimo nk

Sababu Tatizo kubwa liko kwa waswahili ngozi nyeusi.Sio wapemba,waarabu na wahindi wa Tanzania
 
Walimu wengi wa shule za serikali hawajui kiingereza sijui wanawatoaga wapi
Kingereza sio issue mzee Bahresa aliishia darasa la pili hajui kingereza kabisa lakini ni Bilionea anatambuliwa dunia nzima

Japan hawatumii kiingereza ,wachina hawatumii kingereza,Wajerumani, warusi wote hawasomeshi English medium lakini wako juu mno kila eneo
 
Kwa upande wangu mm nashauri maarifa yote ya muhimu ya uhandisi, tehama na udaktari au madawa yaanze kutafsiriwa kwa kiswahili na vitabu vizuri vitengenezwe.

Itengenezwe timu ya wataalamu wabobevu wa ndani kwenye fani hizo wakishirikiana na wageni.
 
Kingereza sio issue mzee Bahresa aliishia darasa la pili hajui kingereza kabisa lakini ni Bilionea anatambuliwa dunia nzima

Japan hawatumii kiingereza ,wachina hawatumii kingereza,Wajerumani, warusi wote hawasomeshi English medium lakini wako juu mno kila eneo
Elimu ya biashara , tena ile practical iingizwe kwenye mtaala toka shule ya msingi hadi chuo kikuu.
 
Lugha ya kufundishia toka chekechea iwe kiingereza, kisha elimu ya nadharia inayolenga kufaulu ipungue, tuwe na elimu ya ujuzi zaidi. Kwa maneno marahisi sekondari za kukaririsha ili kufaulu zipungue, sekondari nyingi ziwe ni za ujuzi na maarifa. 75% ziwe sekondari za ufundi, na 25% ndio za watu wa maofisini wa utawala.
Lugha ya kufundishia ikiwa kingereza, taratibu kiswahili kitaanza kufa.

Lugha ya kiingereza ikiwa lugha ya kufundishia itaonekana kuwa ni lugha ya wasomi na watu wataona ufahari kuizungumza na lugha ya kiswahili itaonekana lugha ya wasiosoma na watu watadharau kuizungumza hivyo taratibu itakufa.

Lugha ya kiswahili ni heshima ya muafrika.

Ukimuambia mjerumani fundisha watoto wako kwa kingereza atakugomea siyo kwasababu watoto wake hawataweza kujifunza kingereza na wala siyo kwasababu kijerumani ni lugha kubwa kuliko kiingereza bali kwasababu anajivunia lugha yake kijerumani ambacho ni utambulisho wake na utamaduni wake kinaipa heshima jamii yake.

Kiswahili ni ishara ya uhuru wa muafrika mkitumia lugha yenu maana yake mpo huru mmeondokana na utegemezi wa yule aliyewatawala zamani ndiyo maana mataifa mengine ya afrika yanataka kujifunza kiswahili kwasababu wanajua ni heshima ya muafrika.

Kiswahili ndiyo lugha ya kiafrika ambayo haiwezi kuwagawa watu kwa misingi ya kikabila
 
Elimu ya biashara , tena ile practical iingizwe kwenye mtaala toka shule ya msingi hadi chuo kikuu.
Tena waalikwe hadi akina mama ntilie wale wa chini kabisa wafundishe kupika vitumbua maandazi nk

Likifika somo la practical aalikwe mama shughuli mama ntilie wa eneo husika wafundishe na yeye ndie asahihishe huo mtihani kwa kuangalia je andazi au vitumbua au pilau au wali nazi vimeiva vizuri nk

Practical walalikwe wachacharikaji eneo husika na walipwa kwa kipindi.

Akifundisha somo la kupika kashata au soseji au kukaanga chips au kuosha magari nk alipwe nk
 
Futa form 5 & 6.

Wanafunzi waanze kuspecialize combination (sciences au arts) baada tu ya kuingia secondary.

70% ziwe practical and technical sessions na 30% ndo iwe theory za kina magungo wa msovero.

Kwa ngazi ya elimu ya vyuo vya kati na juu (diploma and degree).

Wanafunzi watumie 60% ya muda wao wa masomo kwa kila mwaka field na wanakuwa under intense assessment then 40% ndo wazitumie kupiga umbea madalasani.

Serikali iache kuleta siasa za kijinga kijinga kwenye mfumo wa elimu.
 
Binafsi
1_elimu iwe practical 75% theory 25%. Kwa uchina engineers aliyetokea veta analipwa Sana kuliko wa academics like udsm and related.

2- primary iwe 5yrs basi. Kama biashara aje mtu Aliye fanikiwa kibiashara aje kufundisha vitendo zaidi na sio dhahania. Kama ni engineer aliyejenga daraja aje awafundishe engineers students na sio kisa mtu akameza akapata A ndio awe kipaumbele.

3- lugha iwe English mwanzo mwisho. Yaani elimu iwe vitendo Sana .Kama savei kijana aende saiti achukue levels kabisa a computer volume na levels kabisa ijulikane points zilizo juu ama chini na sio blajh blah.

4-- shule ziwe za kutafuta vipaji zaidi za vijana mfano Kama Ile miaka ya mwanzo ya 3yrs iwe ni kustadi watt wanapendelelea Nini Kama ni kumiliki duka sawa,kufuga kuku unamuelewa.

5-- primary iwe 5 yrs, sekondari 4yrs na chuo iwe 3-5 mwisho. Jumla Halo ni 14yrs muda Kama aliingia anayo 3-5yrs anamaliza akiwa around 17-19.

Halafu ana undergo highest intensive training/volunteer kwa ajili ya kugain practicals for 3-5 yrs hapa Sasa anakuwa Kama wa upasuaji anapasua mgonjwa Kama engineer anajenga bila ya usimamizi.


Muda huu anaajariwa Kama junior baada ya hapo anakuwa senior kwa kada yake.
 
Bunge letu liko powa,wasibadilishe eti wabunge wote wawe wasomi?

NO, tunahitaji representantion ya watu wote, hata wasiosoma, kujua challenges zao na wanaweza kuleta different perspectives /uelewa wa mambo yanayowahusu sababu watu wanaweza ku relate na wao...

Tena kungekua na walemavu na makundi mengine bungeni pia................

Kuhusu elimu yetu

1.iwe vocational/ufundi based

2. iwe specific na mazingira yetu,ma engineer wanasoma vitu general wakijenga madaraja mvua ikija yanavunjika,wangesoma katika mazingira yetu wangeelewa mvua ni moja ya matatizo yanayoikabili nchi yetu hivyo wangejenga daraja linalostand mafuriko.

3.Lugha ya Kiingereza iwe ndio lugha kuu, msiwafate hapo juu waliosema China/Russia sijui wapi wanaongea lugha zao, sisi ni nchi changa sana kulinganisha na hao,bado tunahitaji a lot of interactions na watu wa nje ambapo lugha kuu ni Kiingereza, pili katika kazi vijana wetu wanaweza kuajiriwa na nchi nyingine kama wataonyesha uwezo wa kuongea kingereza,kwa nini muwa limit vijana kupata kazi za nje, pamoja na scholarships watapataje vyuo vya nje kama wamesoma Kiswahili peke yake?.

4.Ongezeni mishahara ya walimu,hii ita attract watu makini kusomea hio fani, pia criteria ya wanaosomea ualimu ibadilike sio sasa wale waliofeli ndio wanaenda kuchukua ualimu...
 
Darasa la la kwanza had la Saba ni ndefu sana, iwe Mwsho la 6,

Kwa maana darasa la tatu 7/77 unaambiwa jibu haiwezekani na wakat inawezekana, 6-8 jibu haiwezekani,

Pia form1 to 4, ziishie form3 tu alaf advance iwe one yeah , then chuo iwe Kama ilivoo hii itafanya mambo yawe Ya mda mfp
 
Back
Top Bottom