Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maoni ya kipindi cha mabadiliko kwa muda na kujaribu maoni ya wadau mapema iwezekanavyoMM naona mchakato wa kubadilisha mfumo wa elimu kama ni sirias basi uchukue hata miaka kumi na mitano. Hili swala linahitaji umakini mkubwa sana siyo jambo la kumpa kiki rais yoyote ambaye atakuja madarakani na kutoka. Hili ni swala la umuhimu kwa vizazi vingi vijavyo vya watanzania