Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

Mambo Kama haya yanayogusa maisha yenu na ndugu zenu hamchangii Ila ngono na simba na yanga ndo mada zenu

Watu wenye akili za bata Kama nyie ndo mnataka mabadiliko kweli mtaendelea kuwa masikini na watoto wenu wataendelea kuwa vubarua wa wachina na wahindi na kuishia katika ajira uchwara za ualimu na polisi
 
Kuna Dhahabu ya Geita
Kuna almasi ya Mwadui Shinyanga
Kuna Tanzanite ya Mererani
TZ haikupaswa iwe nchi maskini !

siku CCM wakitoka madarakani nchi hii itasonga mbele sana!
 
Ukikaa pale Njia ya kwenda Kenya (Kilimanjaro) hayo magari haliyobeba makaa ya mawe kutoka Tz ni mengi sana.

Ukiongea wanakufanya walichomfanya Tundu Lisu.
20250803_214539.jpg
 
Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .

Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Uzi huu uliuliza maswali ya msingi sana
 
Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .

Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Waulize viongozi wako wanaoingia mikataba mibovu za siri. Na mkitetewa na wazalendo kama wana Cdm hamjitolei kuondoa ujinga mwingi. Si makaa ya mawe tu Dhahabu, almasi, Gas na mafuta, wanyama pori.nk nk

Mpaka wananchi watakapokataa utumwa. Ndiyo akili itarudi.
 
Na kuna uwezekano TAL amekamatwa na kufungwa kwa issue hii ya makaa ya mawe na Rostam
Hii nchi inashangaza sana. Kwani hoja za msingi hatushangilii sana wala kusimamia. Haina afya kwa kweli, kusimamia mambo ya hovyo ni kukiua taifa letu na kuendelea kuwafanya watu wetu kuwa watumwa. Maana ya uhuru tumeshaipoteza. EE MUNGU TUSAIDIE
 
Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .

Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Sehemu zote za machimbo ziko hivyo. Maeneo mengi wanayoishi yana reserve ya madini chini so ni vigumu kuweka lami juu ya mali. Ingawa kikawaida kuna 0.03% ya pato linalopatikana kwenye mirabaha kinatakiwa kurudishwa kwa maendeleo ya kijiji husika. Swali linakuja, je Mwenyekiti wa kijiji huwasomea mapato na matumizi raia wake? Je pesa hizo huwa wanazielekeza wapi? Wamiliki wa vitalu vya uchimbaji wakishirikishwa vizuri kwenye maendeleo ya kijiji na kata tija itaonekana. Ila kama viongozi hawana wanalolifahamu basi wataendelea kula posho za 50K kijiji kinabaki mashimo
 
Samia kupitia Abdul, Rostam na CCM ndo wananufaika na Biashara yote ya Makaa ya Mawe Nchini huku Mkoa wa Ruvuma ukizidi kuwa Masikini kwa kiwango cha kutisha
 
Kuna Ufisadi wa kutisha wa rasilimali za Taifa unafanywa na Samia na genge lake la CCM wa kujinifaisha na rasilimali za Taifa hasa Madini.

Ufisadi huu unahusisha kuzipa kampuni wanazozimiliki wao, familia zao na washirika wao wa kibiashara tenda na vibali vya kuchimba madini hasa Makaa ya Mawe na dhahabu hapa nchini.

Sehemu walizozichagua kujinufaisha ni Mkoa wa Ruvuma, Dodoma, Arusha, Geita na Singida bila kusahau Katavi.


Kuna vibali vya kuchmba madini vimetolewa na kampuni zenye uhusiano wa moja kwa moja na Samia, Abdul mtoto wake na watu wao wa karibu akiwemo Rostam Aziz, Angela Kizigha na wengineo.

Mkoa wa Ruvuma makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa masaa 24 kila siku non stop huku mkoa huu na wananchi wake wakiishi kwenye umaskini wa kutupa.
 
Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .

Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Ni kwasabu viongozi wa Tanzania ni wabinafsi, wezi, majambazi, mafisadi papa, wauaji. watekaji wasiokuwa na chembechembe ta uzalendo.

Vipaumbele vyao muhimu kabisa ni ufisadi na kuwateka wanaopinga ufisadi. Vipaumbele vyao sio maisha na maendeleo ya kila Mtanzania bali wanaweza kuiba kiasi gani, kujimilikisha na kuhamisha mali za nchi kwenda kwenye Familia zao.
 
Kuna Ufisadi wa kutisha wa rasilimali za Taifa unafanywa na Samia na genge lake la CCM wa kujinifaisha na rasilimali za Taifa hasa Madini.

Ufisadi huu unahusisha kuzipa kampuni wanazozimiliki wao, familia zao na washirika wao wa kibiashara tenda na vibali vya kuchimba madini hasa Makaa ya Mawe na dhahabu hapa nchini.

Sehemu walizozichagua kujinufaisha ni Mkoa wa Ruvuma, Dodoma, Arusha, Geita na Singida bila kusahau Katavi.


Kuna vibali vya kuchmba madini vimetolewa na kampuni zenye uhusiano wa moja kwa moja na Samia, Abdul mtoto wake na watu wao wa karibu akiwemo Rostam Aziz, Angela Kizigha na wengineo.

Mkoa wa Ruvuma makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa masaa 24 kila siku non stop huku mkoa huu na wananchi wake wakiishi kwenye umaskini wa kutupa.
Sio sekta ya madini pekee ufisadi wa kutisha upo kila eneo. Shinyanga Mwadui ipo chini ya Rostam, kampuni inayochapisha karatasi na vifaa vingine kwenye huu uchaguzi wa chama kimoja tenda, mchongo wamejipa Samia na Wicknell Chivayo.

Mwendokasi, bandari, viwanja vya ndege, viwanja, mashamba, mbuga, misitu, karibu vitu vyote vya thamani nchini wanajilimikisha wao au kuuza kwa wahuni kwa bei ya kutupa ili wapate 30% yao.
 
Na kuna uwezekano TAL amekamatwa na kufungwa kwa issue hii ya makaa ya mawe na Rostam
Wote waliotekwa, kuuwawa au kukamatwa walikuwa na lengo kuwafungua macho wananchi maadui wao wakubwa wapo ikulu.

Usitegemee kupata maendeleo yoyote kutoka kwa Samia, Abdul, Kizigha, Rostam, Mombo, Kikwete.
 
Labda sheria za uchimbaji wa madini zibadilishwe ili mwekezaji au mchimbaji awe anawagawia hela wananchi watakaokuwa wamepanga foleni getini daily
 
Back
Top Bottom