Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Mbona Kila siku madini yanapelekwa nje ya nchi na bado Tanzania watu wake ni masikini?Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Kuna Dhahabu ya GeitaIkiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
TZ haikupaswa iwe nchi maskini !Kuna Dhahabu ya Geita
Kuna almasi ya Mwadui Shinyanga
Kuna Tanzanite ya Mererani
Uzi huu uliuliza maswali ya msingi sanaIkiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Waulize viongozi wako wanaoingia mikataba mibovu za siri. Na mkitetewa na wazalendo kama wana Cdm hamjitolei kuondoa ujinga mwingi. Si makaa ya mawe tu Dhahabu, almasi, Gas na mafuta, wanyama pori.nk nkIkiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Hii nchi inashangaza sana. Kwani hoja za msingi hatushangilii sana wala kusimamia. Haina afya kwa kweli, kusimamia mambo ya hovyo ni kukiua taifa letu na kuendelea kuwafanya watu wetu kuwa watumwa. Maana ya uhuru tumeshaipoteza. EE MUNGU TUSAIDIENa kuna uwezekano TAL amekamatwa na kufungwa kwa issue hii ya makaa ya mawe na Rostam
Sehemu zote za machimbo ziko hivyo. Maeneo mengi wanayoishi yana reserve ya madini chini so ni vigumu kuweka lami juu ya mali. Ingawa kikawaida kuna 0.03% ya pato linalopatikana kwenye mirabaha kinatakiwa kurudishwa kwa maendeleo ya kijiji husika. Swali linakuja, je Mwenyekiti wa kijiji huwasomea mapato na matumizi raia wake? Je pesa hizo huwa wanazielekeza wapi? Wamiliki wa vitalu vya uchimbaji wakishirikishwa vizuri kwenye maendeleo ya kijiji na kata tija itaonekana. Ila kama viongozi hawana wanalolifahamu basi wataendelea kula posho za 50K kijiji kinabaki mashimoIkiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Sio kuna uwezekano ni 100% kutokana na hili. Ajabu zaidi hao raia wa kihindi*asia* ndio wanashirikiana na msoga nkNa kuna uwezekano TAL amekamatwa na kufungwa kwa issue hii ya makaa ya mawe na Rostam
Ni kwasabu viongozi wa Tanzania ni wabinafsi, wezi, majambazi, mafisadi papa, wauaji. watekaji wasiokuwa na chembechembe ta uzalendo.Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa .
Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
Sio sekta ya madini pekee ufisadi wa kutisha upo kila eneo. Shinyanga Mwadui ipo chini ya Rostam, kampuni inayochapisha karatasi na vifaa vingine kwenye huu uchaguzi wa chama kimoja tenda, mchongo wamejipa Samia na Wicknell Chivayo.Kuna Ufisadi wa kutisha wa rasilimali za Taifa unafanywa na Samia na genge lake la CCM wa kujinifaisha na rasilimali za Taifa hasa Madini.
Ufisadi huu unahusisha kuzipa kampuni wanazozimiliki wao, familia zao na washirika wao wa kibiashara tenda na vibali vya kuchimba madini hasa Makaa ya Mawe na dhahabu hapa nchini.
Sehemu walizozichagua kujinufaisha ni Mkoa wa Ruvuma, Dodoma, Arusha, Geita na Singida bila kusahau Katavi.
Kuna vibali vya kuchmba madini vimetolewa na kampuni zenye uhusiano wa moja kwa moja na Samia, Abdul mtoto wake na watu wao wa karibu akiwemo Rostam Aziz, Angela Kizigha na wengineo.
Mkoa wa Ruvuma makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa masaa 24 kila siku non stop huku mkoa huu na wananchi wake wakiishi kwenye umaskini wa kutupa.
Wote waliotekwa, kuuwawa au kukamatwa walikuwa na lengo kuwafungua macho wananchi maadui wao wakubwa wapo ikulu.Na kuna uwezekano TAL amekamatwa na kufungwa kwa issue hii ya makaa ya mawe na Rostam