3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Kuku wa biashara wanaanzia wangapi?Wafugaji kuku wa
BIASHARA na sio wa nyumbani
Someni basi hio Taarifa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuku wa biashara wanaanzia wangapi?Wafugaji kuku wa
BIASHARA na sio wa nyumbani
Someni basi hio Taarifa hapo
Yafaa hata waone aibu kilimo na ufugaji kwao muda wote havijawahi kuwa na maana, hata wameshindwa kuajiri hao maafisa ugani watoe japo ushauri kwa hao wanaofuga kwa mazoea ili wafanye hivyo kwa tija, baada ya kuona mkwamo wanakuja kwa vitisho, hebu wajitafakari na wafanye lililo sahihi. Ila hapa yote ya yote ni chanzo kipya cha kodi kinaangaziwa ila kwa utaratibu wenye mapungufu mengi.Ifike mahali viongozi wawe wabunifu na kuja na namna ya kufanya kitu kwa kushirikisha na kuelimisha wananchi na sio kuja na tamko la vitisho ili uonekane upo. Huo sio utendaji bora wa kazi. Tunahitaji kiongozi mbunifu na mwenye kuelimisha na sio kukurupuka na kutishia watu wakati hata huo utaratibu wa kusajili wafugaji haujulikani. Amekaa na sera zake huko za mwaka 47 ambazo hata hazijawa communicated kwa wananchi anaanza kutishia...
Hata Ukiwa Na Manyoya Tu.Kuku wa biashara wanaanzia wangapi?
Sijajua kwanini ni kuku tuuKwanini kuku tu mkuu, tunafuga ng'ombe, mbuzi, kitimoto kibiashara
Aaaargggh hivi umenielewa kaka ?Un
asema Wallah tena unasema huna uhakika
Acheni kuingilia dini za watu
Wewe unavyoona wanaanzia wangapi ?Kuku wa biashara wanaanzia wangapi?
Nchi inaelekea kubaya. Badala ya kuwawezesha wafugaji wadogo waweze kuongeza kiwango chao cha ufugaji, sisi tunafikiri kuwakamua zaidi, huku tukiwa hatujali changamoto wanazozipitia.
Ushari wangu ,kabla hatujaenda mbali mamlaka husika ,watupatie takwimu ya mchango wao,hapa wanapofikiria kuvuna. Je waliwekeza kwa kiwango gani au ni mpango wa kutaka kuvuna wasicho panda?Duuuh ila tutafika ila kuku wanyama kila baada ya miezi miwili au mitatu wanatakiwa kuuzwa kwa hiyo kila nikinunua wapya najisajili tena au inakuwaje?
Ha ha ha ha haHata Ukiwa Na Manyoya Tu.
Mbona Mr Kuku Alianza Kufuga Manyoya Mpaka Sasa Hivi Kuku, Serikali Ikaingia Kati
Wingi ukumbuke unaanzia 2, sasa ili mtu asajiliwe hao wengi wanaanzia wangapi kama unafahamuSijajua kwanini ni kuku tuu Aaaargggh hivi umenielewa kaka ? Wewe unavyoona wanaanzia wangapi ?
Hivi Unaweza fuga broiler 5 ukasema unafanya biashara ya kuku wa nyama ?
Wale obviously wanakuwaga wengi
Nakubaliana na issue ya kuongeza wigo wa kodi lakini Ujinga uliopo katika hili nikuwa kodi zinakwenda kuongezwa kwenye watu wale wale kama hilo ongezeko litakwenda kwa mlaji. Kupanua huo wigo ilikuwa kuwapata wale wasiolipa kodi wa lipe nakodi iwe kwa muuza kuku sio mlaji. Sasa kila kodi mpya mzigo ni kwa mlaji wa mwisho. Hiyo ya kuku itakwenda kuongeza bei ya kuku moja kwa moja.Mimi Nadhani kikubwa hapo kinachotafutwa sio database wala taarifa za kuku nchini
Ni Serikali inaangalia ni kwa Namna gani itapata chochote kitu. Unajua VAT inakatwa kwa Registered companies yoyote inayo zalisha bidhaa Au kutoa huduma frani Mf bidhaa za Bakhresa Au huduma za Vodacom
Hivyo basi kuwasajiri wafanyabiashara wa kuku wa nyama na mayai ni kuifanya Serikali kupata mapato (VAT 18%) kwenye kila kuku Au Yai moja
Mfano Sasa hivi kuku wa broiler ni 6000 mpaka 6500, endapo hili zoezi lao la usajiri litaenda sawa hawa kuku tutegemee kuuzwa 7500 na zaidi, the same kwnye mayai
Binafsi sioni shida katika hilo kabisa
Yani Serikali ipate KODI za kutosha Mimi nichukie Wallah ntakua mwenda wa zimu
Japo hili swala wamelileta kishkaji, Haliko wazi sana than it should be Au pengine no tatizo la muandishi wa hio habari gazetini [emoji2363]
Content na caption si sawa, kwenye content Waziri haonekaniJe, utaratibu ukoje?
Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi?
Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchiniView attachment 1663632
Hili nalo litapita kama lile tamko la Hakuna kuolewa au Kuoa bila kuwa na cheti cha Form FourJe, utaratibu ukoje?
Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi?
Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchiniView attachment 1663632
Wanaenda hatua kwa hatuaNa kwa nini kuku tu na sio mifugo mingine? Vipi ng'ombe, bata, mbuzi, kitimoto, inabidi ifanyike kwa mifugo yote na pia kwa kuwa ni suala linalogusa jamii yote basi watoe elimu na utaratibu