Bado sijakuelewa Umelenga nini haswa kwa kuoanisha na hii Mada Mkuu.Usiishi kwa kuangalia watu..jiangalie mwenyewe. Dunia ina watu zaidi ya bil 10. Diversity ya kutosha...kila watu wana tabia zao wenyewe na style zao za maisha. Kuna wanaume ni walevi...sasa ukienda kuomba ushauri kwa mke wa mwanaume mlevi kupindukia ambaye hajali familia atakupa yake kutokana na nexperience yake.
Asante umesema yote siongezi nenoMkuu kwa upande wangu naona ndoa ni furaha sana. Mke wangu nimempa uhuru sana na mimi amenipa uhuru sana kwakua tumepeana neno uaminifu japo uwezi jua kilichopo moyoni.
Pesa tunasaka wote mmoja akikosa mwengine anamgawia ; mmoja akikosa muda mwingine anamsaidia..mmoja akichoka kukaa ndani mwengine anasindikiza out; mmoja akiumwa mwengine anamuuguza; mmoja akikadirishwa kazini mwengine anampa faraja ;mmoja akiwa na amu mwengine anamtolea amu. na Mengine mengi
Furaha ninayopata ndani ya ndoa kubwa sana sikuyapata nikiwa bachelor.
Mmh, haya Mambo ni Magumu. Ngoja tukusanye Michango ya wengine Mkuu!Ndikwega walio nje ya ndoa wana raha kwani ukiwa nje ya ndoa haina maana huna partner kwa hivyo utapata vyote tena zaidi ya aliye ndani ya ndoa
Wengi wanaingia kwenye kufurahisha jamii bila kuelewa ni ushirika kama Chama cha ushirika
You Give n Take sio You Take tuuuu
Ndoa ni kujifunga kitanzi fulani hivi sio wote lakini wengi wanajutia ndoa zao
Bado hujui unachokisemea ingia uoneNdikwega walio nje ya ndoa wana raha kwani ukiwa nje ya ndoa haina maana huna partner kwa hivyo utapata vyote tena zaidi ya aliye ndani ya ndoa
Wengi wanaingia kwenye kufurahisha jamii bila kuelewa ni ushirika kama Chama cha ushirika
You Give n Take sio You Take tuuuu
Ndoa ni kujifunga kitanzi fulani hivi sio wote lakini wengi wanajutia ndoa zao
Niingie wapi tena MkuuBado hujui unachokisemea ingia uone