Kwenye ndoaNiingie wapi tena Mkuu
Kwenye ndoaNiingie wapi tena Mkuu
Nilikuwa huko so naelewaWenye ndoa
Ooooh pole ulikosea kidogo tu hebu ingia tenaNilikuwa huko so naelewa
Hahahhh haya MkuuOoooh pole ulikosea kidogo tu hebu ingia tena
Mkuu Inakuaje mtu unajutia? Si ni bora kubwaga manyanga kuliko kuchomana mkaaNdikwega walio nje ya ndoa wana raha kwani ukiwa nje ya ndoa haina maana huna partner kwa hivyo utapata vyote tena zaidi ya aliye ndani ya ndoa
Wengi wanaingia kwenye kufurahisha jamii bila kuelewa ni ushirika kama Chama cha ushirika
You Give n Take sio You Take tuuuu
Ndoa ni kujifunga kitanzi fulani hivi sio wote lakini wengi wanajutia ndoa zao
Mkuu Wewe ulitumia technique gani kujinasua Kwenye jinamizi?!Nilikuwa huko so naelewa
Una hoja Mkuu. Kuna muda haya mambo kama yote yako sawa ama hayako sawa.Walio nje ya ndoa wana furaha zaidi. Si tu ndani ya ndoa hawana furaha,hata kuwa kwenye mahusiano permanent kunakunyima furaha,ksbb kuna mambo uyapendayo unaweza ukazuiliwa kuyafanya. Nakushauri kama hujaingia kwenye ndoa achana nayo kabisa hilo jjnamizi (Najua upande wa kuachana nalo hapa watu watakuja speed na mawe). Lakini huo ndio ukweli. Dunia inaendelea mbele,kwa hiyo wanaopingana nami ktk hili wataelewa miaka kadhaa mbele MUNGU akiwajalia uzima
Usifananishe kuwa nje ya ndoa na vitu vya kijinga. Acha kabisa!Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU!
Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa.
Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo Kimekosekana.
Aidha kwa Upande Mwingine hawa Wanaokataa Mambo ya Ndoa wanaona Kuwa ni Shida maana Mwanandoa Unakosa Uhuru, Unaishi Kwa Sheria unakosa maamzi yatakayo iburudisha Nafsi yako. Yaani Kiufupi unakuwa kwenye Kifungo, Kuwa umefungwa na Upande wa Pili wa mwenza wako.
Bila kuegemea Mambo ya Dini ama Imani, Naomba tupate hata wewe Mjango wako. Karibu kwenye Uwanja wa mawazo huru.
Ahsanteni!
Ulimwengu huu hakuna jambo ambalo utalikuta halina side B, Challenge na hii ni kwa sababu kuna Mungu na Kuna shetani pia, kwa kifupi maisha yetu yote yapo na Ups pia yapo na down ingawa kila jambo lina namna ya ku-mitigate ugumu wake. hata hivyo suala la mahusiano linaonekana kuwa la kuumiza zaidi hasa kwa sababu ni suala linalohusisha emotion na vitu kama hizoHabarini WanaJukwaa Pendwa la MMU!
Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa.
Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo Kimekosekana.
Aidha kwa Upande Mwingine hawa Wanaokataa Mambo ya Ndoa wanaona Kuwa ni Shida maana Mwanandoa Unakosa Uhuru, Unaishi Kwa Sheria unakosa maamzi yatakayo iburudisha Nafsi yako. Yaani Kiufupi unakuwa kwenye Kifungo, Kuwa umefungwa na Upande wa Pili wa mwenza wako.
Bila kuegemea Mambo ya Dini ama Imani, Naomba tupate hata wewe Mjango wako. Karibu kwenye Uwanja wa mawazo huru.
Ahsanteni!
Upo sawa Mkuu, ndiyo maana tunarudi pale pale Binadamu hatuwazi sawa. Shida lililo zuri kwa upande mmoja pengine wa pili ni shida. Karibu saana kwenye mjadala.Ulimwengu huu hakuna jambo ambalo utalikuta halina side B, Challenge na hii ni kwa sababu kuna Mungu na Kuna shetani pia, kwa kifupi maisha yetu yote yapo na Ups pia yapo na down ingawa kila jambo lina namna ya ku-mitigate ugumu wake. hata hivyo suala la mahusiano linaonekana kuwa la kuumiza zaidi hasa kwa sababu ni suala linalohusisha emotion na vitu kama hizo
kM ilivyo kwa wasio na ndoa, katika ndoa upo wakati wanandoa wanakuwa na furaha lakini pia kuna wakati kuna machungu. Namna pekee ya kuishi vema ni kujua kuwa hizi changamoto zipo katika mambo yote ya kimaisha na wa kukabiliana nazo ni wewe mwenyewe si mtu mwingine.