Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

Duuh yaani wewe kama unahitaji kuoa ufanye maombi kwelikweli ya kuondoa hizo negativity towards women.

Vinginevyo Utakuwa Kama mtoto wa kambo na mama wa kambo, kila atachokifanya mkeo utaona mapungufu.. Na hautakuwa na hamu ya kumrekebisha coz Utakuwa unajiambia
like "nilijua tu, mimwanamke ya siku hizi hovyo sana najuta kuoa.... " 😂 😂 😂 nawaza tu
 
Naomba kuuliza mkuu, upo kwenye ndoa, upo single au divorced?
 
Hahahaaa endelea kuwaza
 
Just nazngumzia experience ndogo tu nlonayo...!!wengi hawajui...ndoa n uvumilivu...mcone watu wnacheka kwenye magari...au wanatoka pamoja kwenye jumba kubwa....kuna siri kubwa saaana ndan
Mkuu
Mkuu unamaanisha ulizaoa alafu ukaachana ? au sijakuelewa. Umeelezea kama umeshapitia nyanja zote. Lakini kuna kuoa na kuishi na Mwanamke bila kualalisha taratibu zote.
 
Ndoa ni nzuri hasa km mmeowana km marafiki Raha Sana. Pia ndoa Kuna wakati inatibuka km maji machafu vile yanavyokuwa.Pia Kuna wakati inakuwa na raha mpk unasahau shida zoote za dunia.
Kiufupi ndoa ni nzuri maana km unaweza kumvumilia mwenzako Basi umeshinda tabu za ndoa.
 
Kama wote ni waaminifu na mnavutiwa na kupendana ndoa ni raha sana na ndoa ya aina hii inakuongezea uhuru.
 
Kila kitu na enzi zake. Ndoa ina misingi yake inayojikita katika kujinyima hiki kwa ajiri ya furaha ya mtu mwingine. Nawe ukitegemea kingine in return. Karne hii hairuhusu ndoa yenye furaha maana tamaa imetamalak. Kujinyima ni adimu. Utumwa wa kujinyenyekeza umekufa. Elim kw 'watumwa wazoef 'na ubepari vinazalisha roho mbaya na hekaheka nyingi na uhanaharakat. Dini zimepoteza nguvu kudhibit utiifu. Amabaye hajaoa ajifikirie 7 mara 7. Tuombe jamii zetu maskin ziboreshe namna ya kutunza wazee wasio na wasaidiz kupitia camps au bima. Ndoa zitakuputika zaid kadri me na ke wanavyozid kuwa na vipato. UNYENYEKEVU NA UTAJIR HUWA HAVIKAI PAMOJA!
 
Mkuu Pakawa, wewe ni Ke au Me ?, una hali gani katika mahusiano ?, nasikitika unajaribu kutetea uharibifu, kuna athari kubwa sana kwa mtoto kuzaliwa na wazazi ambao ni wahuni yaani kuzaliwa nje ya utaratibu rasmi, wewe unaweza kujiona kama uko sawa, lakini Tafakari kwa kina.
 
Naomba kuuliza mkuu, upo kwenye ndoa, upo single au divorced?
Nipo kwenye ndoa,mwaka wa 15 sasa. Lakini nina turbox la spans,ndio maana imetimiza miaka hiyo. Najua utasema ni ndoa yako tu ndio inayokusumbua. Naishi na majirani,marafiki,ndugu. Kwa hiyo kwanza nina uzoefu mimi mwenyewe,miaka 15. Pili ndugu,jamaa na marafiki. Naweza sema 2% tu ya ndoa zilizo salama. Obama tu wanazinguana mbaya na mkewe,rais wa ufaransa,mkuu mwenyewe,mkape,aliepita unafikiri kwa nini anato twingi? Rejea matajiri ndio wanaoongoza kuachana,akina abramovic,n.k n.k. Hiyo ni mifano tu,ndio ujue hilo dude lilivyo. Kwa nje linaonekana bonge moja la puto tamu
 
Mkuu umeongea points za haja, Big up, nami nayaona haya kwa macho yangu, Hivi kwa nini siku hizi wanawake hawana utii na unyenyekevu ?, na nini unadhani kifanyike ?, kwa hiyo tusitegemee kuendelea kuona watu wakioana ?. nakumbuka niliona ndoa moja ya kijana mmoja mwanamuziki ambayo ilifungwa kwa mbwembwe nyingi sana na ikigharimu pesa nyingi sana zingine zikitolewa kama zawadi, lakini ndoa ile haikumaliza miaka miwili ikavunjika
 
Hapo Mwisho umenigusa saana mkuu. UNYENYEKEVU MA UTAJIRI NA UTAJIRI HUWA HAVIPIKIKI CHUNGU KIMOJA. Thank you.
 
Kwa maswali yako naona kuoana hakuwez kuisha mana sio fashion kuna uasilia uliojengeka kwa mda mref ukadhaminiwa na iman mbali mbali na kulindwa na sheria nying za dunia Ndoa ina faida nying zaid ya wawili kupendana na kuoana yan nje ya wigo wa familia. Mf Taifa huanza na familia. Watakaodum katika ndoa na kuifurahia ni wale tu watakaokubaliana na ukweli kuwa ndoa unatoa zaid ya unavyopata kwa maslahi mapana ya jamii yako na usalama wako. Mke kuwa chini ya utawala wa mme au kinyume chake ni dhana inayouawa kwa kasi mno kias kwamba usipooana na RAFIKI yako wa kweli hamtavumiliana. Maana ”utumwa“ wa mmoja kutawala mwingine ndo umeparanganyika. Ubepari umefanya utu upimwe kwa pesa na mali. Tendo la ndoa halima maana tena mana limekuwa bidhaa rahis kupata. Sheria za dunia zimefanya mapinduz ya makusud kumkomboa mmoja wa watumwa wa mda mrefu. Tusisahau pia kuna silaha za kibiologia tumeshapigwa ili tukidhi soko la kibepari kupitia bidhaa za kingono( mf tujikumbushe "halitosis bomb" la mfumo wa hewa lililoundwa na marekan likipigwa anga yenu huwafanya mkuwe mashoga na wapenda ngono mno wasiojari sijui kwenye vyakula, madawa tumefkia wap). Pia dini zimepoteza nguvu kwa sabab zenyew znatoa tumain tu na wanasayans wanatoa suluhisho. MWISHO: PLAN A ..OANA NA RAFIK YAKO. PLAN B..USIOE KAMA HUWEZ KUJITOA a.k.a kuvumilia hata upuuz mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…