Tujadiliane Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni Lililojengwa Moshi Manispaa kwa Dhamani ya Bilioni 2!

 

Attachments

  • IMG-20250313-WA0018.jpg
    92.4 KB · Views: 1
  • IMG-20250313-WA0006.jpg
    52.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0025.jpg
    134.6 KB · Views: 1

View: https://m.youtube.com/watch?v=xLmZDWodVHc&pp=ygUXUHJpc2N1cyBUYXJpbW8gYmFuZGFyaSA%3D
Majungu ya mitandaoni hayatoshi.

Mmbunge wa jimbo kutwa analinda ajira za mkoa zibaki na kuwasemea shida za wazalishaji serikalini.

Tunarudi na Tarimo 2025, tuache kutungia watu uongo.

CCM aijaruhusu campaign na sijatumwa na mtu.

Embu tulieni chawa wa matajiri hapo moshi mjini kwanza; ndio mabosi wenu wana hela.

Mwacheni dogo afanye kazi alizotumwa na Samia, azifanye kwa ufasaha basi bila ya kumzushia.

Wivu tu kisa mapenzi yake kwa Samia na kumtumikia.
 
Hivi ukiwa ccm huruhusiwi kutumia akili?
 
Muda umeisha,ng'ombe hanenepi siku ya mnada!
1. Soko la manyema liko wapi??????
2. Wizi Moshi wa miradi ya Halmashauri , ni mkubwa mnoo
3. Stand ya ngangamfumuni wapi
4. Barabara ya YMCA kwenda KCMC hospital wapi
5. Miradi uliyoweza kuanxisha ya kusaidia vijana wapi?
6. Uwanja wa michezo memorial king George wapi
7. Unadaiwa ahadi,ulizohaidi wewe mwenyewe za mabilioni
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=OuKNsDkrAxY&pp=ygUXUHJpc2N1cyBUYXJpbW8gYmFuZGFyaSA%3D
Wewe ni sehemu ya- majungu.com

Ebu msikilize hapo akiongelea changamoto za udogo wa eneo na kutaka serikali ifanye kitu kuokoa jahazi; kwenye hizo hoja żako.

Shida yenu ni kwamba Priscus anaimani na raisi Samia na namna alivyoelezea umuhimu wa DPW kupewa bandari akiwa kama mfanyabiashara mchanga. Ndio mmekasirika yeye kusimama na msimamo wa serikali.

Tena mnatumikia matajiri wanaolitaka jimbo; ambao hata makazi yao hayapo Moshi mjini.

Nitarudi kampeni rasmi zikianza. 👋
 
W
Wahuni sio watu.
 
Ukumbuke kuja kwenyebmkutani huo na :
1. Takukuru Mkoa
2. DC MOSHI
3. RAS KILIMANJARO
4. TISS MKOA
5. MKANDARASI ALIYEJENGA SOKO HILO
6. MEYA WA MJI
7. MBUNGE WA CCM MOSHI MJINI
8. DIWANI WA ENEO HUSIKA
9. KATIBU WA CCM MKOA
10. WAANDISHI WA HABARI NA ITV ILI IRUSHE LIVE PICHA YA HILO SOKO,DUNIA ILIONE,NA WIZI UJULIKANE
11. RPC AWEPO KWA AJILI YA ULINZI NA AONDOKE NA MKURUGENZI WA MOSHI MANISPAA
 

Attachments

  • IMG-20250314-WA0025.jpg
    134.6 KB · Views: 1
Kama kuna Mwanaccm ambaye hana hela basi atakuwa fala sana!
 
Je umeona Specification zake?
Je umeona mkataba wa B2 umehusisha kazi zipi?
Je una utaalam wowote wa masuala ya Ujenzi?
Kama huna majibu basi kaa kimya ujenzi hauzungumziwi kama Simba na Yanga lazima ujue details.
 
Kama Kuna uwezekano,hiyo BOQ ya hilo soko,ipelekwe TAKUKURU makao makuu
Kuna madudu ya ajabu!
Mkandarasi alitokea mwanga, na ana mahusiano makubwa na Mwajuma,tangu akiwa DED mwanga
TAKUKURU huwa wapo active kwa VEOs na walimu, huku kwa majangili hawana meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…