Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Salaam wadau,
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipi, Mbona Updates kila baada ya kipindi kifupi?
Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa. Leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita inaonekana haifai sababu ya hizi updates za kila kukicha na hata hivyo mbali ya updates za kila siku Android imekuwa bado si OS imara haswa linapokuja suala zima la usalama.
Hawaoni kuwa hii inazidi kuwapa sifa Apple na IOS yao?
Binafsi hizi Updates ya kila siku ya Android yananikera sana na sioni kama yanatatua matatizo haswa linapokuja suala la usalama.
Naomba kupata maoni yenu wadau.
CC: Chief-Mkwawa
Google sets June 3 date for Android 11 ‘Beta Launch Show’ with yet-to-leak surprises