Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Shame on you we unaona Android ndo zinapitwa na Wakati tu au sio

Unataka kusema hujui what happened? mpaka izo iphone 6 sasa ivi znauzwa laki tatu mtaani imekuwaje?
Punguza hasira Kijana. It has to be common sense over emotions here. Maisha magumu yanayokupiga sio mimi..Sorry!
 
We unaishi dunia ya wapi?

Hizo updates zinatolewa kila mwisho wa mwaka.

Hata Iphone nao wanafanya hivo.
Usikurupuke kucomment kabla hujasoma vizuri mada na kuielewa hoja ya msingi. Maisha ni magumu lakini ugumu wa maisha usiathiri uwezo wako na mtazamo. Sorry
 
Usikurupuke kucomment kabla hujasoma vizuri mada na kuielewa hoja ya msingi. Maisha ni magumu lakini ugumu wa maisha usiathiri uwezo wako na mtazamo. Sorry

Ww ndo umekurupuka. Kwamba major update kwenye Os ya android hazitoki kila mwaka. ?
 
Frp ya 6 na 7 kwangu ilikua rahisi
 
Ni kweli options kama Uimara, Size, Uzuri kimuonekano, Modern technology hao jamaa hawa deal na hivyo vitu. Hiyo link ni kampuni inayojihusisha na kupima performance rasmi za simu, tablets, cpu za pc, graphics card na gadgets mbalimbali na sio YouTube, nilifungua YouTube kwa ajili ya kujionea kwa macho namna simu ilivyo bora kwenye performance. Na hiyo ni list ya simu bora katika performance sio mauzo, wala idadi ya watumiaji wame focus kwenye performance yaani simu inauwezo gani katika kufungua na ku process programu mbalimbali kwa speed ya hali ya juu unaweza kuangalia in details moja baada ya nyingine ukaangalia namna walivyonyambua katika hali ya kitaalamu zaidi. Kwa kifupi kama umewahi kusikia 3dmark benchmark ndio hao wanaaminika dunia nzima kwa ku rate bidhaa za kielektroniki zinazo tumia computing technology upande wa performance wapo kama antutu benchmark.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…