Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo.
Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za 100, 80,90 huko huku sisi tukicheza kwenye 50-70 lazima tupigwe tu.
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.