Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Jana nimetafakari nikacheka tena nikawa naongea kwa sauti mwenye barabarani hadi watu niliopishana nao walikuwa wananishangaa nikijadali hivi, yaani mchina ana kwambia atawekeza kwenye miundombinu kwa muda alio upanga yeye na kwakiasi atakacho kimudu ama anachotaka kukitumia labda baada ya kupiga mahesabu faida atakavyo pata kwa kusafirisha mizigo yake ambayo ni dhahabu toka zambia gharama za uwekezaji unazilipa wewe labda na riba kama ipo inawezekana itakuwepo kwasababu anaweza akakopa kwa uwekezaji huo.Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo.
Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za 100, 80,90 huko huku sisi tukicheza kwenye 50-70 lazima tupigwe tu.
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.View attachment 3089316
Hoja nikwamba kama tungeli zitumia akili zetu vizuri kwakuboresha miundombinu wenyewe lakini baada ya kusaini mkataba wa biashara na wachina kusafirisha dhahabu yao kwenye reli yetu ya tazara toka kule Zambia na bidhaa nyingine.
Swali fikirishi je tunahitaji tupigishwe kwata ndiyo mafuvu yetu yatafanya kazi?