Nadhani kitu muhimu ni katiba mpya ituletee viongozi na siyo haya majizi ya CCMIQ inapimwaje? Nani alipima hizo IQ?
Paka anaweza andika kitabu Cha kumsifia panya?
Naunga mkono hoja Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! tunapigwa sana kwasababu Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.
Ukichukua sample ya CCM hasa UVCCM huwezi bishana na upimaji huo haihitajiki maelezo mengi.
Utafiti upo.
Nadhani kitu muhimu ni katiba mpya ituletee viongozi na siyo haya majizi ya CCM
IQ ya Mbantu ikuwe kufikia wapi?Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo.
Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za 100, 80,90 huko huku sisi tukicheza kwenye 50-70 lazima tupigwe tu.
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.View attachment 3089316
Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo.
Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu.
Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo.
Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za 100, 80,90 huko huku sisi tukicheza kwenye 50-70 lazima tupigwe tu.
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.View attachment 3089316
Nafasi za uongozi zitakuwa za kuomba na mtu anafanya interview siyo za chawa kama sasaBado katiba mpya italeta low IQ leaders hakuna jipya.