Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

Jana nimetafakari nikacheka tena nikawa naongea kwa sauti mwenye barabarani hadi watu niliopishana nao walikuwa wananishangaa nikijadali hivi, yaani mchina ana kwambia atawekeza kwenye miundombinu kwa muda alio upanga yeye na kwakiasi atakacho kimudu ama anachotaka kukitumia labda baada ya kupiga mahesabu faida atakavyo pata kwa kusafirisha mizigo yake ambayo ni dhahabu toka zambia gharama za uwekezaji unazilipa wewe labda na riba kama ipo inawezekana itakuwepo kwasababu anaweza akakopa kwa uwekezaji huo.

Hoja nikwamba kama tungeli zitumia akili zetu vizuri kwakuboresha miundombinu wenyewe lakini baada ya kusaini mkataba wa biashara na wachina kusafirisha dhahabu yao kwenye reli yetu ya tazara toka kule Zambia na bidhaa nyingine.

Swali fikirishi je tunahitaji tupigishwe kwata ndiyo mafuvu yetu yatafanya kazi?
 
Sawa
 
Huyo mchora ramani anazingua; kwamba Chinese wana IQ kubwa kuliko Koreans? Yaani alikuwa anafanya shedding anavyoona kulingana na maendeleo ya nchi husika.

Kwamba huoni kama China na Korea zote mbili hapo zimewekwa kundi moja...huo uzaidi wa Chinese uliotaja uko wapi?

 
Hata wewe unaweza ukawa sample.

Ulitaka link nimekupatia.

Kumbe!

Are elimu and IQ interchangeable? Yani mwenye elimu ndo ana IQ kubwa maana umesema tuanze na elimu kukuza IQ?

Wanaosaini hiyo mikataba sio wasomi?
 
Kumbe!

Are elimu and IQ interchangeable? Yani mwenye elimu ndo ana IQ kubwa maana umesema tuanze na elimu kukuza elimu?

Wanaosaini hiyo mikataba sio wasomi?
Nionavyo mimi watu wamesoma tena wengine ni wabobezi , wanao pewa dhamana baadhi yao wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, a.k.a kujizima data
 
Watu kila siku mnawalisha watoto wenu mihogo na kachori za mia mia, halafu mnategemea IQ kukua, hilo halitakuja kutokea labda majambazi ya ccm yatolewe madarakani
 
Kumbe!

Are elimu and IQ interchangeable? Yani mwenye elimu ndo ana IQ kubwa maana umesema tuanze na elimu kukuza elimu?

Wanaosaini hiyo mikataba sio wasomi?
Ni wajinga
 
Wenye IQ kubwa mnawaona vichaa. (RIP JPM)
Hebu mtuache tuishi tuwezavyo
 

Tatizo ni utashi na matendo mema kuielekea nchi/Taifa na jamii.

Tunachohitaji zaidi ni:
1: wananchi kujitambua.
2: wananchi kutambua wanahitaji nini?
3: viongozi kujitambua.
4: viongizi kutambua wananchi/taifa linahitaji nini?

Mikataba inayoingiwa na Taifa hata watu wa hapahapa wanaiona haifai ila inakuwa na harufu ya:

1: watu kutanguliza matumbo yao.

2: kupeleka watu wasiostahili kuingia mikataba(mfumo wa kupata watu sahihi, si kwamba hawapo).

NB: Kuna wataalamu wametoka huku penye kuitwa low IQ na wamekimbiza na kuheshimiwa huko kwenye high IQ wakakubalika mpaka kuwapandia dau.
 
Tuipe heshima elimu naamini itasaidia kukuza IQ bila hivyo tutaendelea kusombwa sombwa hovyo.
Mfumo wa elimu wenyewe tu unategemea IQ za hao hao, Labda turudi zama za kale za kujifunza kwa vitendo, Elimu ya kujitegemea (EK)
 
Tuanze kwanza kukuza elimu kwa viwango vya juu jitihada haziepukiki
Mkuu kwani IQ inakuzwa kwa Elimu?
Naomba tuanzie hapo

Huwajui wasomi wetu wapigaji??

IQ zao zimeathuriwa sana na Elimu walizopata

Kuna wana mbuga tu na wanazengo wanafanya mambo ni hatare na nusu
 
IQ au akili ni suala la genetics.
Vyakula, tiba, mazingira n.k vinachochea IQ kwa kiasi kiduchu sana .
Kama IQ ndogo hutoboi, unaweza kuboost tu lakini huwezi kuiongeza.
Senior mechanical engineer wa Kibongo ukimweka field na mechanical technician wa Urusi au Uchina anakula za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…