Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

Unawaza kukuza IQ wakat hujala ebu acha masihara kula kwanza ushibe IQ ni vtu vya ziada baada ya kua na uhakika wa kula, kulala pazuri na kupata uduma ya matibabu kwa wakat

Unataka kukuza iq wakat bado tunagombania vitu vdgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…