Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu.
Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya maji taka.
Tatizo baadhi ya watendaji wa siku hizi wamekosa ubunifu na kwa sababu hiyo wamechangia matatizo kuongezeka.
Mfano mwaka Juzi tulishuhudia stendi ya Mabasi ya Ubunho ikihamishiwa maeneo ya mbezi hakika huo ulikuwa uamuzi wa busara na faida yake leo hii tunaiona, Kituo kikubwa na cha kisasa cha Mabasi stendi ya Maguguli, hakuna msongamano na Abiria hawapati usumbufu.
Sasa kwa nini K.koo nyingine isijengwe Maeneo hayo ya Mbezi Mwisho ili kuondoa msongamano katikati ya Jiji? haswa ikizingatiwa hivi sasa abiria wote kutoka mikoa yote pamoja na nchi jirani wanaterwmkia Mbezi mwisho, wafanyabiashara wengi wanatamani kufanya manunuzi hapohapo mbezi bila kufika kkoo.
Viongozi wetu hebu kuweni wabunifu ktk kutatua changamoto za wananchi.
nashauri tena tujenge K. koo ya kisasa maeneo ya Mbezi karibu na kutoa cha Mabasi "Magufuli bus terminal".
hii itasaidia sana kuondoa changamoto za msongamano katikati ya Jiji lkn pia itaondoa changamoto ya kutapakaa ovyo kwa wamachinga.