Ndiyo maana amesema inabidi yaongezwe kemikali.Maji ya mvua haya ambayo ikiyahifadhi kwenye ndoo baada ya siku mbili yanateleza na vidudu juu
Huko ufipa huwa mnafanyaje?? Maana watu wanajisaidia nyumba za jirani, ofisi haina maji chooni
Wengine wanaweka dawa .Hayana madhara kiafya??
Ukipata chumvi ya mawe inaondoa hiyo Hali.Maji ya mvua haya ambayo ikiyahifadhi kwenye ndoo baada ya siku mbili yanateleza na vidudu juu
Inaondoaje mkuu,kwakudondoshea tu madonge kazaa yachumvi ndani yamaji amaUkipata chumvi ya mawe inaondoa hiyo Hali.
Ndio ata punje tatu Basi yanaweza kudumu hata week bila kuoza ila Kama una kisima wanaweka dawa za water guardInaondoaje mkuu,kwakudondoshea tu madonge kazaa yachumvi ndani yamaji ama
Ni njia nzuri ya jutunza mazingira pia, ametengeneza tanki la ukubwa gani? Kwakweli maji ya mvua ni mengi tu tukiweza kuyahifadhi hata kwa garden yanafaa.Nilimtembelea ndugu mmoja Dar, amechimba kisima na ana Simtanks aliniambia ameshaachana na DAWASCO huwa ana nunua maji ya uhai kwa kunywa tu.