Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

Najifunza hapa ili nikijenga nyumba yangu niwekeze kwenye hii project maana mijin huku ukiuza maji ni deal la maana kitaan huku
 
Nimechimba kisima cha lita 53,750 ila hii habari ya kutreat maji huwa siipati kwa uzuri wake ninashukuru wewe uliyegusia kuhusu elimu toka mamlaka za maji nitakwenda Dawasco
 
Nimechimba kisima cha lita 53,750 ila hii habari ya kutreat maji huwa siipati kwa uzuri wake ninashukuru wewe uliyegusia kuhusu elimu toka mamlaka za maji nitakwenda Dawasco
Ni vizuri kwenda dawasco maana hizo milligram 5 kwa gallon moja ni hesabu kali.
 
Shost anaish Uganda na yeye amefanya lakini kwa system ya maji ya chooni tu,
 
Huko ufipa huwa mnafanyaje?? Maana watu wanajisaidia nyumba za jirani, ofisi haina maji chooni
Lile goli lililosababisha ukaja duniani ni wasted.
Bora mshua wako angepiga cha mkono.
Wewe watu wanajadili ya msingi halafu unaleta utindio wako hapa.
 
Navuna maji ya mvua na siweki kemikali yoyote, sijawahi kuona wadudu kwenye shimo hata siku moja. Muhimu tu kusiwe na mwanga wa jua, hakikisha mfuniko haupitishi mwanga, acha pipe kwa ajili ya kupumua and you'll be good to go. Natumia maji hayo kwa kila kitu, inapunguza gharama sana hasa kipindi cha kiangazi. 15' down, 12' diameter inakupa maji ya kutosha kabisa
 
Kuna mikoa nimekaa watu wanategemea maji ya mvua kwa zaidi ya 90%, ambayo huwa wanayavuna misimu ya mvua. Ni wazo zuri na watu wa mijini wakaweka hili kwenye mipango yao wakati wa ujenzi au hata baada.
 
Nilimtembelea ndugu mmoja Dar, amechimba kisima na ana Simtanks aliniambia ameshaachana na DAWASCO huwa ana nunua maji ya uhai kwa kunywa tu.
ni kweli kama zimefanyika calculations za uhakika za matumizi yake ya maji na ziada kidogo anaweza kuhifadhi maji ya kutosha kutumia muda wote,
tatizo ni kuwa watu wengi tunaandaa storage ambayo haitutoshelezi kwa kipindi chote
 
Back
Top Bottom