Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.